Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

On JF:

Walioomba kazi Akiba Commercial watu wameanza kuitwa leo kwa ajili ya interview
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Pathfinder International's mission is to ensure that people everywhere have the right and opportunity to live a healthy reproductive life. In Tanzania, Pathfinder provides women, men, and...
1 Reactions
0 Replies
6K Views
Baada ya kumaliza interview kwa mkuu wa mkoa ya JKT nakufanikiwa kuchaguliwa tena, sasa imebaki vipimo kwahiyo ukifanikiwa hapo ndio kambini wadau.
1 Reactions
1 Replies
1K Views
This is a new, full-time position for an enthusiastic and self-motivated Office Administrator to join our team key tasks Acting as receptionist Maintain day to day financial...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Habari wakuu.Stamico wametoa majina kwa ajili ya interview kwa lile tangazo la kazi lilorudiwa (Re-Advertised).visit website yao ucheck majina.Kila la kheli wote kwenye Interview.God bless you all.
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Za Jioni wapendwa wana JF na watanzania kwa ujumla. Binafsi nimesikia siku nyingi habari zao na nimesikitishwa sana jamani na hii scandal ya EroLink hasaa, japo na makampuni mengine yapo, (pls...
3 Reactions
16 Replies
3K Views
Kwa kiasi fulani uwepo wa makampuni haya haukatazwi ila kinachotokea ni kwamba serikali imewaacha huru mno na kunesha kama vile watu wanaopata ajira kupitia kampuni hizo serikali haihusiki nao kwa...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari zenu wana jamvi. Siku za nyuma nilipeleka cv pale datavision kwa post ya researchers,baada ya mda mrefu sasa wameniita kwenye interview. Naombeni msaada wenu mwenye ufahamu na hii kampuni...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Position: Technician (10 posts) Location: Dar es Salaam Deadline :Feb 6 2014 Descriptions: Qualified Technicians are required. Qualifications: Minimum qualifications and professional experience...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wanajamvi, Ninamhitaji mfamasia kwa haraka sana. Vigezo; Awe ameitimu certificate na kudhibitishwa na bodi ya wafamasia. Mahali; Sehemu ya kazi ni jijini Mwanza. Mawasiliano; no. yangu ni...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Nichukue fursa hii kuwashukuru wanajamii wote kwa kunipa moyo na ushauri katika hali ngumu niliyokuwa napitia na pia naomba msamaha kwa wale wote niliowaudhi kwa namna yoyote ile, tukumbuke mimi...
12 Reactions
41 Replies
8K Views
Habari wadau, poleni na mihangaiko ya hapa na pale. Kwa mtu mwenye taarifa ya usaili wa TANESCO, katika zile nafasi nne za Public Relations zilizotangazwa wiki mbili na nusu zilizopita
0 Reactions
1 Replies
3K Views
THE STATE UNIVERSITY OF ZANZIBAR(SUZA) JOB OPPORTUNITIES The State University of Zanzibar (SUZA) is the only public university in Zanzibar established by Act No. 8 of the House of...
2 Reactions
0 Replies
3K Views
NAFASI MPYA ZA KAZI PRINCESS CASINO MWISHO TAREHE 29/1/2014 Attendant Princess Casino (Soon Opening) Phone: +255 758 531 938 Area: Dar Es Salaam Position Description: From: Age between 18 &#8211...
0 Reactions
5 Replies
4K Views
Part Time Interim NGO Director Global Service Corps Phone: +255 754 018 469 Area: Arusha Application Deadline: Feb 07, 2014 Position Description: Part time interim NGO director needed...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wadau bado hatujapata HSSE kama unamjua mtu,ndugu ,jamaa mwambie atume cv au namba ya simu tutampigia mara moja info@lenjen.co.tz
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Nimekuwa nikiona kazi nyingi zinaweka age limit katika matangazo yao ya kazi, na hizi limit hazina mantiki yoyote ninayoweza kuiona. mfano: Software Developer Age limit: 45. Now najua nchi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ni hvi ndugu zanguni siku zile kwenye usahili tulipewa namba zakufanyia kila mmoja yake, chakushangaza leo hii wametoa majina namba yangu kapewa mwengine na kapata, na mimi nliyopewa haikuwa yangu...
0 Reactions
30 Replies
6K Views
Shikamoo RPC Ruvuma. Leo nimeona nikujulishe baada ya kuona hakuna unachodhibiti kwa madereva yebo. Hawa utawakuta wanavaa kandambili,kubasi au sandoz na wewe upo hutoi amri zozote. RPC, kikubwa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
wakui salaam sana. Nina mdogo wangu amehitimu diploma ya procurement CBE mwanza na anaishi mwanza,Naomba yeyote anayeweza kumsaidia apate kazi hata kama si mwanza. natanguliza shukrani
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Back
Top Bottom