Kang
JF-Expert Member
- Jun 24, 2008
- 5,701
- 2,613
Nimekuwa nikiona kazi nyingi zinaweka age limit katika matangazo yao ya kazi, na hizi limit hazina mantiki yoyote ninayoweza kuiona.
mfano: Software Developer Age limit: 45.
Now najua nchi nyingi kama US, hii ni kinyume na sheria, hauwezi kubagua kwa umri unless umri fulani utakuzuia kuifanya hiyo kazi.
Je kwa Tanzania hii ni halali? Nasubiri mawazo yenu.