Jamani wadau mwenye habari kuhusu ile written enterview tulofanya jumanne pale NBC Makao makuu ya lead generator atujuze kama matokeo yametoka na kama watu wameitwa tayar maana apa pressure tu...
Kwa mwenye taarifa za Kazi zilizotangazwa Jana tarehe 03.01.2014 naomba anijuze.Hasahasa naomba nijue Qualification za Security Officer.Chonde chonde Waungwana naomba Mnisaidie.
DUTY STATION: DAR ES SALAAM
Engender Health works to improve the health and well-being of people in the poorest communities of the world. We do this by sharing our expertise in sexual and...
TITLE: CHIEF OF PARTY/PROJECT DIRECTOR
DUTY STATION: DAR ES SALAAM
Engender Health works to improve the health and well-being of people in the poorest communities of the world. We do this by...
habari ndugu zangu.. jmn kuna hii kitu inaitwa telexfree , Naskia unaweza kuchuma pesa hata ukiwa nyumbani, kuna rafiki yng kanielezea sijamwelewa mwenye idea nayo plz anieleweshe maana isije...
Jaman kuweni makini na watu wanaojishaua kuwasaidia kupata ajira sehemu fulani...mim yamenikuta nimetapeliwa laki na nusu tena na mtu ninayemfahamu kabisa hata aibu haoni alivyo mshenzi..imeniuma...
Habari zenu wana jf, naomba nifahamishwe kwa mtu mwenye kufahamu taarifa za watu walioitwa kwente interview geita gold mining ltd kuwa wanatakiwa kutipoti lini?
Regards.
Batman Pizzeria Restaurant which is located along Haile Sellasie Road near Atlantis Hotel, is urgently looking for 2 Pizza chefs & 1 Cashier. A minimum of one year experience in doing similar job...
Wadau mm ni new member nimesoma Bachelor of Business Administration in Human Resource(SAUT).kila nikiapply kazi za HR nakosa nifanyeje na mtaji wa biashara sina naomba ushauli wakuu kitaa kigumu
Habari zenu wanajamvi.
Mwenzenu natafuta kazi ya Udereva wa Magari madogo,kazi kama kuwapeleka na kuwachukua watoto shule,safari za mtu binafsi,kumwendesha Boss,kubeba mizigo au gari la...
Habarini za asubuhi ndugu zangu.
Mimi ni mwanafunzi wa chuo, niko mwaka wa tatu yaani natarajia kumaliza chuo mwezi Juni, if God wishes. Kwa sasa nasoma kozi chache ukilinganisha na miaka...
JOB DESCRIPTION: SALES EXECUTIVE
Bab Kubwa Magazine is the Leading entertainment and youth magazine in East Africa we are looking sales executive who can is going to be responsible to Builds...
Jamani,
Hivi procedure za kuomba uhamisho zinakuwaje especially kama umeambiwa utafute mtu wa kuubadilishana nae na umekosa, na at the same time umeshauriwa na daktari wa mtoto awe karibu na...
ABOUT GENDER RESOURCES:
GRI advances gender equality and women's empowerment so that all people – women, men, boys, and girls – have equal abilities and opportunities to lead more...
Country: United Republic of Tanzania
Closing date: 28 Feb 2014
Working in 50 developing countries across Africa, Asia and the Americas, Plan's stated GlobalStrategic Goal (2011-15) is to reach as...
Wadau heshima kwenu, Tunahitaji watu wa sales na marketing tunahitaji watu ambao wana ELIMU na UZOEFU wa kutosha, hii ni muhimu sana namaanisha watu wa category A au First Class sio marketing wa...
Habari wadau wenzangu.
Jamani nauliza hivi mada za humu huwa zinakaa muda gani? Maana kuna thead zingine za tokea mwaka jana zipo, mfano nafasi za kazi za tarehe zilizopita bado zipo hadi leo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.