Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

On JF:

Kwa wale waliokuwa wanahangaika kuhusu uhamisho kazi kwenu
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Medical Records Assistant Regency Medical Centre Ltd Position Description: · Organize and manage patients' health information data. · Ensure paperwork is properly filled out. · Verify...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
I am a freelancer providing different marketing services of consultation from marketing intelligence,preparing marketing plans,market research,market demand estimation.marketing budget,and...
0 Reactions
0 Replies
844 Views
Habari ndugu zangu. Mimi ni kijana (kiume) ninayesoma chuo kikuu cha mt. Augustine mwaka wa tatu, degree ya kwanza (bachelor of Arts with Education). Nipo tayari kujitolea kufanya kazi (bila...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Description: General Manager General Manager Job Purpose: Obtains profit contribution by managing staff; establishing and accomplishing business objectives. General Manager Job Duties...
0 Reactions
0 Replies
743 Views
Naitaji msichana wa kazi katika office yangu iliyopo mabibo hostel, mshahara ni kuanzia tsh 100,000/= Awe anakaa tabata kisukuru external.
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Habari. Wakuu, nimegundua kwamba kazi nyingi za migodini hazitangazwi kwenye media, ata kama kunahuitaji. Zipo zinazobandikwa tu kwenye mageti ya Migodi, Notice Bord zao au nyingine wanazijua tu...
0 Reactions
16 Replies
7K Views
MImi ni muhitimu wa (EastAfrica Utalii College) nina Diploma in Hotel management na mzoefu katika kazi hii kupitia sehemu mbalimbali na makampuni mbalimbali ya kitalii hapa nchini kwa sasa nipo...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Kama ambavyo mnajua ni vigumu wote mnaotafuta kazi kuajiriwa sababu kila mwaka watu wanamaliza masomo na kazi hamna. Leo nawapata ushauri muhimu sana naomba muufanyie kazi uwa naumia sana kuona...
19 Reactions
85 Replies
9K Views
Habari za majukumu wakuu? Samahani, Nina rafiki yangu amebahatika kuitwa katika usahili wa PCCB, Katika vitu vilivyoorodheshwa kwenda navyo siku ya usahili ni ramani inayoonesha eneolako la makazi...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Habari! Kuna yoyote mwenye taarifa kuhusu zile kazi za BoT zilizotangazwa mwezi wa kumi na moja mwaka jana? :confused2:
0 Reactions
62 Replies
15K Views
Wadau naomba kujuzwa kama kuna mtu anataarifa na interview ya pili baada ya ile ya kwanza. vipi kuna aliyeitwa?
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mimi nina certificateya(Environmental Conservation and Afforestation) ninaomba mashirika makampuni au taasisi mbalimbali na Offices zinazohusiana na mazingira kwa anayejua ziripo anijuze mi niko...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
jamaninaomba msaada jana nikiwa kwenye gari-daladala nilimuona mtu anagazeti daily news likiwa na kazi za kikosi cha zimamoto, nimejitahidi kutafuta gazet sijafanikiwa leo, naomba mwenye link...
1 Reactions
21 Replies
14K Views
Nina utaalamu wa ngazi ya cheti [CETIFICATE) na nina cheti cha mafunzo ya uuzaji wa dawa za binadamu kutoka TFDA yaliyoendeshwa mjini njombe mwaka jana na pia nina uzoefu wa kuuza duka la madawa...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Kuna kampuni mpya Dsm iliyoanza kusafirisha watu kwenda kuajiriwa katika nchi za Ghuba na miezi ijayo idadi itaongezeka . Nia ni nzuri , lakini familia za wale wanaokwenda huko wachukue...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Mimi nilikuwa mtumishi serikalin(mwalimu)na baade nikaamua kwenda kusoma ila nkanyimwa ruhusa,nilivoondoka mshahara ukafungwa.Na tangu mwezi wa saba mwaka jana nimefutwa kabsa payrole na pale...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Rank za mishahara na allowance mbalimbali kama vile nyumba, usafiri, likizo, perdiem n.k, kwa Engineers na technicians.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mosa ni Kampuni ya Usafi wa aina tofauti nchini Tanzania,Uchafu wa aina yoyote, mahali popote pale. Kwa mahitaji yako ya usafi penye uchafu Sugu pawe Nyumba,Baker equipmenTents...
1 Reactions
0 Replies
2K Views
Back
Top Bottom