dont worry just follow this link..... Http://internetduty.com/?id=gkattHabari zenu wana jamvi.
Siku za nyuma nilipeleka cv pale datavision kwa post ya researchers,baada ya mda mrefu sasa wameniita kwenye interview.
Naombeni msaada wenu mwenye ufahamu na hii kampuni interview zao zikoje?
Asanteni.