Habari wadau, poleni na mihangaiko ya hapa na pale. Kwa mtu mwenye taarifa ya usaili wa TANESCO, katika zile nafasi nne za Public Relations zilizotangazwa wiki mbili na nusu zilizopita
Wiki mbili na nusu tu unapiga mayowe, ile ni serikali wanaweza wakafanya shortlist hata mwezi wa 5 so ukiaply serikalini unakuwa kama unapotezea flan.Hata mimi niliaply zile za mwezi wa 12 ambazo deadline ilikuwa January 2 bado nimetulizana tu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.