JamiiForums imenipatia kazi

Kifulambute

JF-Expert Member
May 8, 2011
2,539
755
Nichukue fursa hii kuwashukuru wanajamii wote kwa kunipa moyo na ushauri katika hali ngumu niliyokuwa napitia na pia naomba msamaha kwa wale wote niliowaudhi kwa namna yoyote ile, tukumbuke mimi pia ni binadamu na nina fikra postive na negative kama wanadamu wengine.

Pili nichukue nafasi hii kuishukuru JamiiForums kwa kuniwezesha kupata kazi nzuri ambayo tarehe 01 Feb 2014 nitaanza kufanya, ikumbukwe nilifukuzwa kazi kutokana na kutokuhudhuria mara kwa mara kazini kutokana na kumuuguza wife pamoja na mama pia.

Kupitia JamiiForums niliona tangazo la kampuni inayohitaji company Accountant na nikaomba...Mungu aliweza ninyooshea mkono wake na kuweza chaguliwa kati ya waliofanya interview...

JamiiForums ni mwanga na source ya mambo mengi sana tuitumie kwa mazuri, tuwe Great Thinker kweli na sio kupigana vijembe kila kukicha.
 
mwisho wa mwezi nitaku pm unitumie hela ya castle lite mbili kwa ushauri wangu mzuri
 
Hongera sana mkuu.....pole kwa kuuguliwa.......

nashukuru sana preta...nashukuru kwa sasa wote wamepona wanaendelea vizuri sana, maana dah mungu anisamehe tu, unajua unaweza saa nyingine ukapatwa na magumu ukatamani uzame ardhini usionekane kabisa...lkn nashukuru yamepita na kazi nimepata..
 
Wife aliponaje? if you dont mind to share,hongera sana.

Client3, unakumbuka ile thread yangu ya ajabu ajabu ya kuacha wife? kuna member alinishauri kitu kizuri sana kwanza alinipa number ya gyno mmoja pale Mhimbilli, na hapo hapo nikampigia nikamweleza kila kitu akatupa appointment ya kumpeleka wife, lakini huwezi amini wife alikuwa hawezi kutembea wala kusimama mda mrefu, nikamtumia ticket ya ndege yule dr akaja Arusha na akamtibu akampa dawa...you can't imagine within 3 days wife akawa nafuu, no bleeding, akapata nguvu na sasa yuko home na tunajiandaa tukamwone Dr kwa ushauri zaidi.
 
Ashukuriwe Mungu,Tunamshukuru Mungu kwa uponyaji,pole tena kwa kuuguza na hongera kwa kurejewa na afya.
Ndio uzuri wa jf,
i like jf,your help,ever.
 
Nakutakia kazi njema. Ufanye kazi kwa masalahi ya familia yako, na wengi. Usije kupata hela na kumpelekea kimada. Ikiwa kama ulikosa kazi kwa ajili ya mke na mama, basi na ufanye kazi kwa ajili ya mke, mama, ... Mtangulize Mungu kwa kila jambo.
 
Ashukuriwe Mungu,Tunamshukuru Mungu kwa uponyaji,pole tena kwa kuuguza na hongera kwa kurejewa na afya.
Ndio uzuri wa jf,
i like jf,your help,ever.

kabisa unajua jf unakutana na watu wengi ni zaidi ya kikao cha wananchi 1000
 
Hongera sana mkuu.....pole kwa kuuguliwa.......

avatar20103_34.gif

mzima wewe?umepotea!!!! Kulikoni?
 
Back
Top Bottom