Bado tunatafuta HSSE

Bado tunatafuta HSSE

LENJENTZ

Member
Joined
May 21, 2013
Posts
69
Reaction score
10
Wadau bado hatujapata HSSE kama unamjua mtu,ndugu ,jamaa mwambie atume cv au namba ya simu tutampigia mara moja info@lenjen.co.tz
 
Afu wewe kila siku unatangaza nafasi za kazi hutaji kampuni au shirika gani,kazi yako kusema tunahitaji watu haraka!
Ulishawahi kuhitaji waendesha makatapila,wapishi,mastore keepers,mkuu wa chuo,sijui nan..sasa ukiunganisha dots unagundua kua wewe ni tapeli tu kwakua hueleweki na unataka Ku chezea cv za watu na kufanyia utapeli.
Ndugu zangu kuweni makini na majitu ya namna hii.
 
BTW kama wewe ni agent wa ajira basi kaa ukijua mmeshakatazwa kuendesha utapeli wenu nchini mwetu na serikali.kwahyo peleka hukoo kwenu huko !
 
What is HSSE

H=health

S= safety

S= Security

E= environment

HSSE = Health safety security and environment normally is an officer to coordinate the whole in one.

nimejaribu mkuu nadhani hiyo ndiyo maana yake.
 
Back
Top Bottom