Crispin Nyoni
JF-Expert Member
- Dec 11, 2012
- 413
- 90
Shikamoo RPC Ruvuma. Leo nimeona nikujulishe baada ya kuona hakuna unachodhibiti kwa madereva yebo. Hawa utawakuta wanavaa kandambili,kubasi au sandoz na wewe upo hutoi amri zozote.
RPC, kikubwa zaidi leo nimeshuhudia madereva yebo wakifanya mizaha huku wakitumia barabara ya FFU SEEDFARM kuelekea Ruhira kama ifuatavyo:
1. Wakwanza alikuwa akiendesha huku amelala chali juu ya pikipiki miguu iko kwenye stelingi anasoma gazeti.
2. Wapili amekaa akiangalia inakotokea pikipiki.
3. Watatu amempakiza mwenzake huku anakunywa kiroba mguu 1 ameukunja kwenye kiti na mwenzake amelala chali huku nyuma.
Walipita pale CCM SEEDFARM na polisi walikuwa wanawaona tu. Je wangisababisha ajali mngisemaje?Lindeni usalama barabarani jamani hali inatisha. Asante ni hayo tu samahani kama nimekukwaza.