JE ni sahihi kwa aliyemaliza chuo kikuu kuendelea kuwa tegemezi na kusaidiwa pesa za kula na nauli pindi tu anapohitimu chuo wakati anasaka ajira
kama ni sahihi hadi lini?
kama siyo sahihi afanyaje?
Ndugu wana jamvini, kwa wale waliofanya interview ktk sekretariat ya utumishi nimeona wameita watu kazini na tangazoo wametupia katika tovuti yao ya Utumishi. Ingieni kule kwenye tovuti ya...
ndugu zangu nipeni ushauri,nimeanzisha kampuni ya kuzoa taka majumba,so nahitaji mawazo ni jinsi gani naweza kucarry out hii kazi,hapa nitacreate ajira kibao tu.
Kuna jamaa aliniambia kapigiwa simu na mhusika na kuambiwa aende kwa interview tar 29 yaani kesho
sasa nimejaribu kucheki sijaona tangazo lolote labda kama kuna tangazo kwa mbao zao za matangazo...
hawa jamaa hawapo serious kabisa... watu wamefanya kazi mwaka mpaka leo makato yao hayajapelekwa PPF/NSSF, zaidi ya miaka miwili wafanyakazi hawajapata likizo coz mkataba wao na wafanyakazi wao ni...
NAFASI MPYA ZA KAZI AI MUNTAZIR ISLAMIC SEMINARY MWISHO TAREHE 5/2/2014
Teachers Business Studies & Accounts
Teachers Physics
Teachers English
Teachers Kiswahili
Teachers - Chemistry...
Tanzania Commission for AIDS (TACAIDS) is an Independent Government Department Under the Prime Ministers Office. TACAIDS main function is to co-ordinate all activities relating to the fight...
NAFASI MPYA ZA KAZI AGAKHAN HOSPITAL MWISHO TAREHE 10/2/2014
Laboratory Assistant
Laboratory Technologist
Maintenance Technician
Electrical Engineer
Safety Officer
Safety Officer
Biomedical...
Wizara ya afya na ustawi wa jamii imetangaza nafasi za kazi. Mwisho wa kutuma maombi ni tarehe 7/2/2014.
Vigezo.
1. Mwombaji awe raia wa Tanzania
2. Awe amehitimu ukidato cha nne/sita.
Kunzia...
Jamani kwa wale tulio apply kwenye hiyo issue above kuna kimpya kingine baada ya online assessment majamaa wamekuwa kimya kweli na issue naskia inaanza februari :phone:
Msaada Jamani niyoitaja hapo juu nimeambiwa ni Kampuni Ya Madalali wa kazi kama Elolink, na TaeSa Naomba mwenye Ufahamu kuhusu wao anielekeze walipo tupeleleke Cv tutkufa njaa jamani mtaani hali mbaya
Wanahitajika watu watatu wa kufanya marketing ya kampuni ( Sio ya kutembeza vyombo) malipo ni kwa Kamisheni kwa kipindi cha miezi mitatu ndipo utaanza kulipwa mshahara,vigezo uwe na uwezo mzuri wa...
Habari,
Mimi ni Mtanzania nilie ajiriwa kama Operator wa Mitambo (Grader,Excavators,Dozer,Wheel Loader e.t.c).
Kwa sasa nataka kuwa INSTRUCTOR/TRAINER wa MITAMBO ila tatizo nililonalo ni...
Wana JF,
Nilifanya interview na Msama promotion, wamiliki wa gazeti la dira ya mtanzania. Wakaniambia baada ya masaa 72 tutajulishwa kama ume pass usaili au la, utapigiwa ndani ya masaa 72...
Post: ICT and French teacher
Job Description:
Goshen school is welcoming all suitable candidates to apply for the post of ict and French teacher
a. The suitable candidate is expected to have...
Position Description:
For this job you will be serving customers with the different food products from our business. Similar to when you go to subway, coffee shops, fast food restaurants (such as...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.