Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

On JF:

SECURITY GROUP T LTD ARUSHA BRANCH invites application from suitable qualified Tanzanians for position of ALARM TECHNICIAN QUALIFICATION 1. Must have knowledge of electronics and alarm system. 2...
0 Reactions
0 Replies
954 Views
Anahitajika fundi umeme wa viwandani awe na usoefu wa kutosha, ofisi ipo mbagala rangi 3. Piga simu 0685 31 23 26/ 0657 14 5555 hii ni number ya meneja mwajiri.
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Nafasi za kazi kwa wana taaluma hizo kazi kwenu sasa
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Guys kutokana na ugumu wa maisha nimeombwa na binti wa kama miaka 20 kazi yoyote ile kwenye ofisi yoyote ile. So naomba msaada wenu. Naomba utani usiwepo ni very serious.
0 Reactions
26 Replies
7K Views
Kuna rafiki yangu aliomba pia katika kazi zile za FIRE aka jeshi la zima moto anauliza anaweza pia kuomba kazi hizi za uhamiaji maana mwajiri ni yule yule wizara ya mambo ya ndani. Ahsanteni sana.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kwanini wanatangaza nafasi za kazi wakati wamekwisha wapa watu wao hizo nafasi, utakutana na tangazo la kazi lakini nyuma ya pazia tayari zimeshajazwa, ni kwanini hivi.? Je kuna sheria...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
hellow guys ,, niko najaribu ku apply job kuitia zoom but inagoma kwenye ku match text (security), kila letters zinazokuja naziweka vizuri but inasema incorrect capcha,, sijui tatizo nini au...
1 Reactions
38 Replies
6K Views
Kwa anaye fahamu pharmaccy Techn analipwa sh ngapi?
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Hello. Waungwana hali yangu inazidi kuwa ngumu, nimehetimu elimu yangu kwa level ya shahada (B.A Public Administration) kwa muda wote huu nimetafuta kazi bila mafanikio kwenye namna ya kunisaidia...
0 Reactions
26 Replies
3K Views
Kwa wale ambao wamekuwa wakidanganywa na kutembelea website kama www.taskto-job (toa alama ya dash) na nyingine nyingi hutakaa ulipwe maisha yako yote. Kuna watu wangu wakaribu ambao mpaka sasa...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Nisaidie wanajamiiforums eti ukiwa mwanajeshi unakuwa na tabia mbaya kama kuvuta bangi, kuwa mlevi, kupenda wanawake ovyo, na mwisho unaweza kufa muda wowote vikitokea vita. Mwenzenu nipo njia...
0 Reactions
53 Replies
21K Views
Habari wadau. Mimi ninafanya kazi sehemu fulani, but huwa nina tuma maombi sehemu mbalimbali katika kubadilisha kazi. Juzi nimepigiwa simu na Radar Recruitment, yule mdada akanifanyia enterview...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Kwanza kabisa natanguliza shukrani zangu za dhati Imezuka tabia siku hizi hasa katika mashirika ya umma, utakuta wanashortilist karibia wanafunzi wote walio apply kwenda kwenye interview n...
5 Reactions
13 Replies
3K Views
Jamani tumesikia waziri juzi akitoa tamko kuhusu hizi kampuni za habiting kwamba ziache shughuli zao Mara moja na kampuni husika iwaajiri moja kwa moja wafanyakazi wake husika, Mbona hapa vodacom...
0 Reactions
25 Replies
5K Views
Jaman wana jamii, naomba msaada kwa hili suala kabla sijaliwa kekundu, maana kipindi hiki ajira ni ngumu na watu wanataka kuponea kwa wenzao kwa kuwatapeli kizembe. Link ya application form ni...
0 Reactions
22 Replies
5K Views
Kuna nafasi ipo hapa mkoani moro ni ktk hotel ya kitalii .sasa kama una uwezo wa fani hizo mbili au hata uwe na fani yabomba tuu.tuwasiliane kwa 0659969663 Ni haraka sana anahitajika mtu.
0 Reactions
2 Replies
9K Views
Leo gazeti moja wametoa tangazo la kazi kule chuo cha UDOM, sasa kuna mdau ameniomba ushauri kwamba je atume maombi ya kazi au aachane nao, mana amesoma post nyingi zinazohusu UDOM kwamba kuna...
0 Reactions
17 Replies
3K Views
RE: Secretarial Capacity Building Training Session and Training Costs Contribution - Refer your job application on the position of secretary and office administrator as well as job description...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Wakuu habari ya mapumziko? Kwakuwa mtafutaji hachoki nimeona ni vema nikatuma maombi nafasi zilizotangazwa UDOM. katika kusoma maelekezo namna ya kutuma maommbi kuna fomu moja inaitwa referee...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Kuna mchumia tumbo mmoja amenitumia ujumbe huu: Namba ya simu ni 0713-115 368 "Habari, naitwa Frank from ST. DAVIDS SCHOOLS Dar, tunaingia kikaoni tupitie CV za kuinterview for O-LEVEL TEACHER...
2 Reactions
21 Replies
3K Views
Back
Top Bottom