Kuhusu Matangazo ya Ajira/Kazi

Bzimana

JF-Expert Member
Mar 18, 2013
551
156
Kwanini wanatangaza nafasi za kazi wakati wamekwisha wapa watu wao hizo nafasi, utakutana na tangazo la kazi lakini nyuma ya pazia tayari zimeshajazwa, ni kwanini hivi.?

Je kuna sheria inawalazimu kuzitangaza hata kama watu wao wameshazipachikwa.!
 
Funguka ueleweke,wapi wametangaza wakati teyar wana watu wamewapata?Weka vitu bayana ili tutokomeze udhalimu huu
 
Back
Top Bottom