Zoom Tanzania na Human Verification

island

JF-Expert Member
Nov 26, 2013
1,058
821
hellow guys ,, niko najaribu ku apply job kuitia zoom but inagoma kwenye ku match text (security), kila letters zinazokuja naziweka vizuri but inasema incorrect capcha,, sijui tatizo nini au natakiwa jifanyeje,,,, IT PPO PLIIZ na yeyote ambaye kapita hapo

attachment.php
 

Attachments

  • Screenshot from 2014-02-03 20:20:13.png
    Screenshot from 2014-02-03 20:20:13.png
    10.4 KB · Views: 1,589
Hata ingekuwa mm ndo system ningekataa hizo tarakimu-namba ulizoweka hazifanani jaribu kurefrsh
 
Wakuu nimetyp faster kuonesha nka snap kuonesha mfano tu ... nachoongea hapa ni cha kweli kabisa ndo maana nimeomba msaada kwa mtu aliye apply ...
 
Screenshot from 2014-02-03 20:58:30.png Screenshot from 2014-02-03 20:59:38.png mwenye uwezo anisomee hizo issue isee ,, bado nipo kwenye page bado sijazipatia .... au kuna smthng wrong????????
 
Network ya zoom bado haiko sawa.kuna vitu bado havijatulia tangu wafanye mabadiliko ya servers na web design yao january 31 to february 2

vumilia
 
Hata application letter yako pamoja na CV vitakuwa vichekesho kwa kuwa unaonekana kutokuwa makini!

kweli common sense is not common sometimes leads to upuuuuzi.,,,, how can u draw conclusion that way, ??? ..."idiot talking nonsense"
 
Hivi kuna mt yeyote aliyewahi itwa kny Interview kupitia hawa watu kwa kutuma cv yake through click to e-mail? Mi naonaga kupotezeanaga muda tu asee.
 
Hivi kuna mt yeyote aliyewahi itwa kny Interview kupitia hawa watu kwa kutuma cv yake through click to e-mail? Mi naonaga kupotezeanaga muda tu asee.

Wako poa isee .. kazi nayofanya sa hivi nili apply kupitia kwao .... ila sipend hiyo njia yao ya kutotaja jina la kampuni na kutoonesha.details
 
web page yao inasumbua toka jan 1. Wajirekebishe!

Kuna job nlikuwa naomba wakanzingua hivo , leo imebidi ni call ile namba waloweka nkawaambia zoom inasumbua then wahusika wakanipa direct email ... u can try that
 
Back
Top Bottom