Kwa wale ambao wamechoka na kuibiwa Mitandaoni

Kwa wale ambao wamechoka na kuibiwa Mitandaoni

vimon

Senior Member
Joined
Apr 3, 2008
Posts
183
Reaction score
196
Kwa wale ambao wamekuwa wakidanganywa na kutembelea website kama www.taskto-job (toa alama ya dash) na nyingine nyingi hutakaa ulipwe maisha yako yote. Kuna watu wangu wakaribu ambao mpaka sasa wana $500 kwenye account zao za tasktojob lakini hawawezi kutoa na hii yote ni utapeli kwa watu wasioweza kufikiri hakuna pesa rahisi.

Nataka nikufundishe jinsi ya kupata pesa lakini sio rahisi sana na hii ni kwa watu wote, kwanza kabisa unatakiwa kuelewa dhana zima ya PTC(Paid to click-kulipwa kwa kubonyeza matangazo),wataalamu wa kiswahili watanisaidia, dhana hii imeanza nyuma sana kuna site kama 20 hivi ambazo kazi yako ni kuangalia matangazo tu. Kila tangazo mmoja utakalo angalia unalipwa dola 0.001$, hii utalipwa tu pale utakapofikisha dola mbili kuendelea.

Malipo hufanyika kwenye account yako ya paypal(Rahisi kufungua),neteller,payza. Sio lazima uwe na account ya paypal mwanzoni ila unaweza kutembelea website za PTC ukajiregister ukawa unaangalia matangazo huku unashukulikia mambo ya paypal na bank yako.

PTC Site
1.NeoBux
2.Clicksense
3.Legacy click etc

Kwa wale ambao wananguvu na wanauwezo wa kutumia computer msipoteze nafasi watu wanapata pesa ila sio rahisi,hapa PTC unaanza na dola 0.001$ na baadaye una panda mpaka 0.02$,huko kuna survey unapitia pia wanakulipa,ila nikuonye usijiunge na site nyingi chagua mmoja ili uweze kuifanyia kazi.

Kwa wale wenye website unaweza kutumia Google adv kupata pesa za kuendesha website. Kuna njia nyingi za kupata pesa kwa njia ya mtandao lakini ukiona njia ni rahisi sana ujue sio kweli

Angalizo
Hii sio networking au mfumo wa kuchangia pesa zako. Biddii yako yakuangalia matangazo tu.
 
account paypal unafunguaje describe for us please to ingie kazini.
 
pay pay account is not supported by any bank in tanzania(not sure) what i know, mtu unaweza tu kutuma pesa kupitiA PAYPAL NA SI KUPOKEA
 
Hii dunia imejaa maajabu tu na kila siku ya Mungu maajabu kadhaa yanazaliwa......haya twende kazi wazee wa mitandaoni...Mijihela hiyo kamateni
 
Back
Top Bottom