Kwanza kabisa natanguliza shukrani zangu za dhati
Imezuka tabia siku hizi hasa katika mashirika ya umma, utakuta wanashortilist karibia wanafunzi wote walio apply kwenda kwenye interview n frequently inakuwaga amptitude test.
Katika hao watu either kuna watu special waliokuwa targeted to be employed whether they qualify or not au hawapo kati ya hao ila wanategemea kuja kuwapandikiza.sasa swali langu ni kwamba huwa mnafikiria nini kwa wale wanaokopa nauli na fedha za kujikimu toka mikoani kuja kufanya interview hewa?
Kuweni na huruma japo kidogo.kama mnajua kabisa kwamba mna watu wenu basi fanyeni shortilist ya watu wachache ,na hao mtakaowafanyia shortilist basi muwasaidie angalau gharama za usafiri na accomodation kuliko wa loose kila kitu.
Kumbukeni kwamba wote tumetokea huku huku na mnajua jinsi gani machungu ya kutafuta kazi na kutokuwa na ajira ,msijisahau sana kuweni na huruma japo kidogo itasaidia.
Ni hayo tu, nawasilisha.