naombeni ushauri.
Mimi ni kati ya waliopata kazi juzi toka tume ya ajira kwa ajli ya moja ya mashirika ya umma.
Ile kazi wakati wa tangazo la kazi walitoa condition ya cheti ni mtu mwenye...
We are urgently looking for a female secretary. Our Office is based in Dar es Salaam. The ideal candidate must be fluent in English.
If you think you qualify for the position please call us at...
jamani hiki chuo katika ajira hakifai. mwaka 2010 walitangaza nafasi kuna rafiki yangu alikuwa kamaliza chuo na aliomba akawa shortlisted na wakafanya interview.cha kushangaza hawakuitwa hata...
ANATAKIWA BWANA NYUKI NDANI YA WIKI MOJA
Buyuni Redd farms Ltd ni shamba la kufuga nyuki heckta 150 katika kijiji cha buyuni huko vigwaza karibu na ranchi ya ruvu mkoani pwani.Anatakiwa bwana...
The University of Dodoma invites applications from suitable qualified Tanzanians to fill the
following positions.
1.
POSITION: HUMAN RESOURCE AND ADMINISTRATIVE OFFICER II (12
positions)...
Kwa yeyote ayehitaji twishen kwaajili ya mwanae ! Nipo tayari kwa kufundisha, masomo ya sanaa' mim ni mwalimu mzoefu na mwenye shahada ya uwalimu. Nauwezo na uzoefu wa kufundisha wanafunz level...
Habari wadau, kuna dogo langu alifanya Interview kazi za TRA pale UDSM mwaka jana mwezi wa kumi wakambiwa watapigiwa simu ila hadi sasa kimya kuna mtu mwenye taarifa na hizi kazi aisee???
Wadau jana nilipigiwa simu kwa ajili ya kuhudhuria kwenye usaili nafasi ya Assistant Accountant Mwananchi.
Naomben msaada ili kujua na kujiandaa katika usaili na mambo gani nitarajie kuulizwa
Habari wakuu.
Napenda kuwajulisha kuwa STAMICO wameanza kuita watu kazini, mimi binafsi ni mmoja ambaye nimepigiwa simu siku ya jumamosi tar 1 january saa 12.13(sita mchana) na natakiwa kuripoti...
Wanaoulizia mishahara naamini ni wale walioko makazi so wanataka kulinganisha kabla hajatuma. Mtazamo wangu ni huo lakini sisi tuliomaliza mwaka huu unauliza mshahara hata kazi hujapata, pata kazi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.