Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

On JF:

Jaman naomba nieleweshe kuhusu nafasi za kazi za uhamiaji nafas ya koplo wanataka form 6 waliofaulu,sasa wanapatikana vp hao waliofaulu maana ninavyojua mimi waliofaulu wote wamejiunga na vyuo...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Kwa yeyote anayeifaham Unilever tafadhari naomba anipe information kuhusu hiyo kampuni na pia wanalipaje kwa fresh graduate with no experience (entry level).
0 Reactions
2 Replies
2K Views
FEB142014 Kamishna Mkuu wa idara ya Uhamiaji anatangaza nafasi za kazi katika Idara ya Uhamiaji kwenye vyeo vya Koplo na Konstebo wa uhamiaji. A: MKAGUZI MSAIDIZI WA UHAMIAJI NAFASI 70 1...
0 Reactions
12 Replies
10K Views
Wadau wote wa land survey changamkieni nafasi kwa anae taka, more details check on todays the Guardian news paper(14 febr 2014)
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Naombeni, mwenye taarifa za waliopita kwenye mchujo wa jeshi la zima moto au lini wanatangaza waliopita kwenye mchujo?
0 Reactions
25 Replies
7K Views
Tangu mwaka 2011 mpaka today, job sina, umri unaenda, kuoa nashindwa, nimegraduate, nimefanya interview kibaao, but no job, jaman?
0 Reactions
38 Replies
6K Views
Jamani wadau hivi kwanini hizi recruitment agent wakati zinatangaza kazi kwanini huwa hawasemi majina ya hayo makampuni? Kwa nini hayo makampuni hayajiamini? hofu yao ni nini? Ukiingia kwenye...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Wakubwa nilimaliza chuo nikiwa 26 sahivi naenda 30 sina ajira. Nipeni tu pole
0 Reactions
30 Replies
4K Views
Kuna binti ambaye alikuwa ananisaidia kazi za ndani kwa bahati mbaya au nzuri mimi na familia tumesafiri nje ya nchi. Sasa namtafutia kazi ili aweze kuenedelea kujikimu kimaisha. Ni binti wa miaka...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari wadau! Kwa kiasi kikubwa kuanzia mwaka 2000 na kuendelea ajira imekuwa ngumu sana kupatikana kiasi kwamba kipindi cha mwaka 2012 kutokana na idadi kubwa ya wahitimu wa kutoka vyuoni...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Looking for a job or even casual, i have a Bachelor degree in administration, i have enough experience working three years in Sales/Marketing/Administrative assistant and customer care, who can...
0 Reactions
32 Replies
3K Views
Mimi narudisha fadhira. Ingawa nilikuwa na kazi taasisi binafsi ila hapa hapa jamii forum nilipata tangazo la kazi la tume ya ajira katika utumishi wa umma(PSRS) la mwezi july,2013 na nikaomba...
3 Reactions
3 Replies
1K Views
Kwenu wadau Naomba kufahamishwa kuhusu hizi scale za mishahara PUT & PHTS... PUT-2 ni tsh ngapi kabla ya makato na PHTS-8 ni tsh ngapi? Hizi scale ni za mtu mwenye masters aliyeajiriwa kama...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Maomba msaada wana jamii hivi Salary Scale: PGSS 11 ni sawa na shiling ngap za kitanzania??
0 Reactions
0 Replies
6K Views
Wakuu habari zenu. Kwa kwel hali ya maisha ni ngumu sana hasa kwa sis wahanga wa ajira. Nataka tuanzishe collage ndogo ndogo zenye kutoa certificate na diploma kama vile data star collage...
0 Reactions
19 Replies
3K Views
Post Title: Programme Coordinator (Sexual Reproductive Health and Rights Project in Iringa Region) Unit: Programmes Reports to: Southern Highland Program Manager, Tanzania Salary Grade...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Job Title: ASSOCIATE INFORMATION MANAGEMENT OFFICER, P2 Department/ Office: International Residual Mechanism for Criminal Tribunals Duty Station: ARUSHA Job Opening number...
0 Reactions
0 Replies
867 Views
Dear members, Nauliza mwenye taarifa kuhusu zile kazi za NHIF zilizotangazwa karibu na mwishoni mwa mwaka jana kama wameshafanya shortlisting. Mwenye kuwa na taarifa tufahamishane tafadhali...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Dereva mwenye class B na D anapatikana hapa Dar 0717 302 371. Anaitwa Benson Yeyote anayemuhitaji anakaribishwa sana. Contact ni hiyo hapo juu.
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Ile post ya finance and admin officer naskia wameanza kuitwa for training, mwenye taarifa kamili na kuaminika please tupia tafadhali don't guess na usiende nje ya mada.
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Back
Top Bottom