Pharmacist Needed

Pharmacist Needed

Hawa ndo aina ya wasomi tulionao sasa.
Hapo ndo umemaliza kuuliza?
 
Hawa ndo aina ya wasomi tulionao sasa.
Hapo ndo umemaliza kuuliza?

kwani linatakiwa kufika wapi? hawa ndio wasomi mlionao ina maana ipi? huwezi kutoa msaada bila kutoa kejeli kama hii uliyotoa?......sishangai hata kile kilichoulizwa jibu lake huna.

"elimu ni tunda zuri kwa nchi yetu ila ikitumika kuwanyanyasa wasio nayo huyo ni adui zaidi ya mkaburu" ikiwa unafahamu tumia uelewa wako kuelewesha wengine sio kuwarushia maneno ya kejeli.

impeccable but can be wrong to you.beg for your forgiveness
 
Lumanyisa usitete ujinga,wewe umeona kauliza swali gani hilo?
Phermatist alipwa kiasi gani akiwa na level ipi na akiajiriwa wapi?
Mjibu wewe basi kama umeulewa umbulula wake.
 
Kichwa cha habari pharmacist, habari yenyewe pharmacy technician??? Watu wengine kazi yao kusumbua watu tu; shwain! Kwanza hatuna pharmacy technician, tuna pharmaceutical technician tu!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom