Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

On JF:

Nimesoma veta leseni yangu ni A, B na D. Umri wangu 45, nipo Dar esalama. Ukinitaka tuma 0782171611, Muda wote nipo.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
je nafasi za kazi migration zimetangazwa?
0 Reactions
19 Replies
8K Views
Habari wana JF. Hawa jamaa waliita watu kweli kwenye interview ya pili baada ya ile tuliofanya DUCE? Mwenye taarifa wadau.
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Habari zenu wadau? Naomba updates za interview za PCCB kwa ambaye ameshafanya tayari zime-base ktk nini hasa? Kwa mwenye taarifa tu. Thank you in advance!!
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Uhaba wa ajira umezdi kuwa changamoto,pengine kwa wale wenye mashamba twende maporini tukalime!
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wakuu narejea kweni na kazi hizi hapa nasikitika kuwa nitaweka link kwakuwa ni maandishi mengi sana hivyo kwa mhitaji unayetegemea simu itakuwia vigumu kupata kazi Niwakati wakutumia Desk top...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Nisaidien jaman, jinsi ya mpangilio maalum wa kutuma barua za maombi,je unaanza vyeti au barua, au CV pale mbele katka kuvibana? na kama unaanza na vyeti. Je unaanzia cha chuo, juu au cha la...
1 Reactions
13 Replies
15K Views
Tatizo la ajira limekua gumu sana, nimemaliza shahada yangu mwaka jana ila wakati nasubiria nipate ajira nilianza kufundisha tuition na nina balance ya tsh 1.5 mil net ambayo ni nje ya matumizi...
0 Reactions
30 Replies
8K Views
Habar zenu. Kwenye posts za uhamiaji sijaona sehem walosema tutume CV katika vile viambatanisho vya maombi ya kazi jamani. Hebu niekeni sawa hapa inakuwaje?
0 Reactions
11 Replies
7K Views
Kwa sasa mambo ni magumu mpaka kujiunga hii inachangiwa na waliopita mwanzo hasa kozi ya afsa cadet monduli maana wengi baada ya kupata vyeo wakabweteka juzi walipopelekwa congo matokeo yake...
1 Reactions
30 Replies
17K Views
Naomba kuuliza hivi ajira za wizara mifugo zitatoka lini? Maana tumechoka kusubiri sasa because tumetuma maombi tangu mwaka jana.mwenye huakika jamani aniambie.
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Jamani kwa anayefahamu makao makuu ya TAKUKURUyalipo kwa hapo Dar naomba anielekeze plz.!
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Habari Kuna dada mmoja anatafuta kazi ya kuuza dawa katika pharmacy yoyote Dar es salaam. Mwenye kumuhitaji anaweza kuni PM
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Jaman tusaidiane zima moto vipi majina wanatoa lini ya mchujo?
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Wana jamvi! utumishi wamefunguka tena kwa ajili ya watanzania katika kada mbalimbali kama mifugo, kilimo, nyuki, matunda, lishe na fani zingine! Kwa wenye sifa Kazi kwenu sasa! Cheki hapa...
1 Reactions
23 Replies
6K Views
naomba mniambie wenzangu hivi ajira za wizara ya mifugo zitatoka lini?,tangu tumetuma maombi mwaka jana naona kimya,naomba ukweli wenu wadau.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kigezo cha umri kimewanyima wengi iyo fursa lakini kuna tetesi kwamba kuna awamu nyingine ya Jkt kwa graduate ambayo umri wataongeza, Je kuna yeyote anayejua ni lini na pia vp kwa JWTZ nimesikia...
0 Reactions
32 Replies
10K Views
Wadau wenzangu Naomba kujua kama kuna mtu anajua kama kuna watu waliishaitwa kazini.Tulifanya Interview za post mbalimbali kwenye organization hiyo mwaka jana mwezi wa kumi 2013,lakini mpaka wa...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wakuu Tume ya ajira wametoa tangazo la kazi, lakini kinachonishangaza katika maelezo ya jumla wamesema TRANSCRIPT hazitakubaliwa. Tume ya ajira wamekuwa wakichukua na kukubali maombi kwa...
0 Reactions
6 Replies
5K Views
EROLINK YATOA UFAFANUZI KWA WANANCHI FRIDAY, FEBRUARY 14 2014, 9 : 27 GAZETI LA MAJIRA KAMPUNI ya uwakala wa ajira ya Erolink imesema itaendelea kutoa huduma za biashara ya ajira kwa Watanzania...
1 Reactions
11 Replies
3K Views
Back
Top Bottom