Ushauri Wako Ni Muhimu

KANCHI

JF-Expert Member
Sep 3, 2011
1,533
230
Kuna rafiki yangu aliomba pia katika kazi zile za FIRE aka jeshi la zima moto anauliza anaweza pia kuomba kazi hizi za uhamiaji maana mwajiri ni yule yule wizara ya mambo ya ndani.

Ahsanteni sana.
 
To me naona anaweza coz ni post tofauti na aliyoomba mwanzo.akishindwa kuapply kwa kigezo cha mwajiri mmoja ina maana hatokaa aombe kazi kweny hiyo wizara ikitokea wametoa nafac tena.namshaur apply asiogope.
 
Ahsante m2 wang pa1 sana.
 
Back
Top Bottom