Interview Kwenye Simu

Interview Kwenye Simu

monaco

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2012
Posts
2,184
Reaction score
1,780
Habari wadau.

Mimi ninafanya kazi sehemu fulani, but huwa nina tuma maombi sehemu mbalimbali katika kubadilisha kazi. Juzi nimepigiwa simu na Radar Recruitment, yule mdada akanifanyia enterview kwenye simu bana, kuanzia elimu yangu, kazi ninazofanya, kwanini niliomba kazi, mategemeo ya mshahara, maslahi ninayopata hapa nilipo, mshahara wangu wa sasa, nk, mwisho akaniambia atanitafuta kwenye enterview.

Sijui nini kitaendelea.
 
habari wadau...
mi ninafanya kazi sehemu fulani,but huwa nina tuma maombi sehemu mbalimbali ktk kubadilisha kazi,juzi nimepigiwa simu na Radar recruitment yule mdada akanifanyia enterview kwenye simu bana,kuanzia elimu yangu,kazi ninazofanya,kwanini niliomba kazi,mategemeo ya mshahara,maslahi ninayopata hapa nilipo,mshahara wangu wa sasa,nk,mwisho akaniambia atanitafuta kwenye enterview.....sijui nini kitaendelea....

itategemea na uhitaji wao na jinsi ulivyojieleza wanaweza kukuita ofcn kwao kwaajili ya mahojiano na makubaliano ...so wasikilizie
 
habari wadau...
mi ninafanya kazi sehemu fulani,but huwa nina tuma maombi sehemu mbalimbali ktk kubadilisha kazi,juzi nimepigiwa simu na Radar recruitment yule mdada akanifanyia enterview kwenye simu bana,kuanzia elimu yangu,kazi ninazofanya,kwanini niliomba kazi,mategemeo ya mshahara,maslahi ninayopata hapa nilipo,mshahara wangu wa sasa,nk,mwisho akaniambia atanitafuta kwenye enterview.....sijui nini kitaendelea....

Asante kwa taarifa. Nadhani wenye kufahamu nini kitaendelea ni huyo Dada aliyekufanyia usaili wa Simu na wenzake huko Radar. Naamini kama utakuwa umefanya vizuri, watakutafuta tena kwa hatua nyingine. Ishi kwa matumaini
 
habari wadau...
mi ninafanya kazi sehemu fulani,but huwa nina tuma maombi sehemu mbalimbali ktk kubadilisha kazi,juzi nimepigiwa simu na Radar recruitment yule mdada akanifanyia enterview kwenye simu bana,kuanzia elimu yangu,kazi ninazofanya,kwanini niliomba kazi,mategemeo ya mshahara,maslahi ninayopata hapa nilipo,mshahara wangu wa sasa,nk,mwisho akaniambia atanitafuta kwenye enterview.....sijui nini kitaendelea....

THATS GOOD,.NADHANI HUU NI UTARATIBU MZURI.WIKI ILIYOPITA HATA MIMI NILIPIGIWA SIMU NA HR WA MeTL KUHUSU KAZI NILIYOWAHI KUOMBA NADHANI ILIKUWA MWAKA 2012.HII INAPUNGUZA GHARAMA NA MUDA PIA.
 
Mengine yooote ilikuwa mbwembwe tu. Shida yao ni hapo kwenye red!

Ukitaja kiwango kikubwa, hutakaa upigiwe tena maishani!

Hawana lolote, utakuja kuthibitisha hapa jamvini.
 
well noted sasa mshahara mkubwa ni upi? figure.Gross ya 1m,2m.3m,4m,5m?
 
THATS GOOD,.NADHANI HUU NI UTARATIBU MZURI.WIKI ILIYOPITA HATA MIMI NILIPIGIWA SIMU NA HR WA MeTL KUHUSU KAZI NILIYOWAHI KUOMBA NADHANI ILIKUWA MWAKA 2012.HII INAPUNGUZA GHARAMA NA MUDA PIA.
ina maana baada ya kwenye simu hakuna tena,na simu mtu unakuwa hujajiandaa,simu inaingia kupokea interview inaanza,kama umetuma sehemu mbalimbali duu,mmm unaanza maswali fasta,anyway inajenga courage pia...
 
ni kweli hata mimi ilikuwa hivyo na leo nipo Arusha naanza kazi
 
Ni kazi gani kaka maana kuna jamaa yangu alipigiwa sim pia na kuhojiwa...yeye akawaambia anataka take home 1.5 m,nahisi hawatampigia tena maana watamuogopa

Back
Top Bottom