Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

On JF:

Jamani, mwenzenu kiukweli paper imenikamata mno hadi nikajuta kwanini nimetoa pesa yangu ya nauli, gesti na matumizi mengine kwenda kufanya mtihani mgumu kiasi kile ambao sijawahi ufanya katika...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
CV yangu haina experience, najaribu kutafata hata sehemu nijitolee nipate uzoefu naona ugumu ni ule ule. Tatizo hata nikifanya interview ya kazi isiyohitaji ulazima wa experience utasikia...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Samahani wakuu nahitaji kujua kiasi cha mshahara wa watu wa mizani (weighbridge operators) wa TANROADS.
0 Reactions
21 Replies
14K Views
Hivi karibuni wadauu nadhani mnakumbuka kuwa wazari wa kazi na ajira alitoa tamko kuhusu mawakala wanao waajiri watu especially kwenye sector ya mawasiliano na mwisho ulikuwa tarehe 28/2/2014, ila...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ni matumaini yangu kua mu wazima washikaji..kama kichwa chs habari kinavo eleza natafuta town planner aliyesajiliwa na serikali anisaidie nna ka kazi kangu kadogo dogo hvi..au hata kma ajasajiliwa...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Waungwana naomba kuuliza hivi zile application za ACB tulizoomba washaita kwenye interview:A S cry:
0 Reactions
8 Replies
4K Views
Wanajamvi, nani mwenye updates za TTCL, kama washaita watu kwenye usaili au bado.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari wadau. Kwa walio apply nafasi za kazi tarehe 5/03/2014 nafasi za Sales andTicketing na passenger service agent kwa njia ya email mbona email yao inagoma ku deliver na katika tangazo email...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Waungwana kwema jamani? kuna kipindi DTB walitangaza nafasi za Bank Officer nami nikatupia hivi wameshaita watu kwene usaili, maana siku hizi ukisikia kimya umeliwa kichwa.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wadau habari zenu.? Kuna vijana wawili wa kike wamekuja ofisini kwangu leo wakitafuta kazi, wana elimu ya kidato cha nne, umri wao ni chini ya 25, wamesomea mambo ya Hotel Management, wana uzoefu...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Ajira (iwe ya kujiajiri au kuajiriwa) ni muhimu kwa ustawi wa mwanadamu. Ninamshukuru Mungu siku zote kwa kunipa elimu, naamini siku moja pia atanipa ajira sahihi kwa ustawi wa maisha yangu...
4 Reactions
106 Replies
11K Views
Kwa yeyote ambaye anataarifa kuhusu anayetaka au shule onayotaka mwalimu wa physics hapa DSM Anisaidie kunipa taarifa.
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Habar wapendwa wana JF. Naomba kujuzwa juu ya kazi za Bank Officer za DTB (Bank) na Relationship Officers za TPB (Bank)
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kikundi cha WAADU kinahitaji madereva waaminifu , na wanaoweza kutunza pikipiki vizuri, kwa wiki kila mmoja atatakiwa kutoa elfu arobaini(40) na kila jumapili mkurugenzi atasimamia umwagaji wa...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Habari wadau napenda kuuliza mwenye taarifa zozote za interview kwa waliioomba ticts nafasi za executive trainee
0 Reactions
9 Replies
4K Views
sifa za mwombaji ~ Awe na diploma ya ualimu Mawasiliano 0689854660 kila la heri wana JF!
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Kwa wale mlioomba nafasi katika chuo kikuu cha Dodoma wameshortlist ,na hivyo interview itakuwa tar 8 na 9 mwezi huu. Tembelea website yao ujionee. Fungua hapa, Kuitwa Kwenye Usahili Mwezi...
1 Reactions
30 Replies
6K Views
Wadau natafuta kazi, elimu yangu ni ya chuo Kikuu. Nina stashahada ya juu ya uhasibu ( Advanced Diploma in Accountancy ADA) Nawasilisha
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Waheshimiwa wana JF, Kwa yeyote anayefahamu naomba anifahamishe hili jambo: 1.Ukiwa mwajiriwa wa serikali kwa level ya bachelor degree(B.Ed) as Education officer II, then ukapata promotion ya...
1 Reactions
27 Replies
21K Views
Msp cleaning company mspc ni kampuni inayojihusisha na masuala ya usafi wa maeneo mbali mbali pamoja na kuuza dawa hivyo basi, wanahitajika watu...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Back
Top Bottom