chief bazoka
Member
- Jan 31, 2014
- 97
- 22
Habari wadau napenda kuuliza mwenye taarifa zozote za interview kwa waliioomba ticts nafasi za executive trainee
mkuu,deadline juzi afu unauliza leo. au unajua uli apply peke yako
Mbona naskia short list tayari
muulize aliyekuwambia tayari
Nimepata taarifa nafasi TICTS walizowaita watu kwenye interview ni nyingine zilizotangulia kutangazwa kabla ya executive trainees kutangazwa,executive trainees bado hawajaitwa kwenye interview.
Asante kaka tuzidi kupeana updates hapa