Ulongupanjala
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 8,522
- 14,005
Wadau habari zenu.?
Kuna vijana wawili wa kike wamekuja ofisini kwangu leo wakitafuta kazi, wana elimu ya kidato cha nne, umri wao ni chini ya 25, wamesomea mambo ya Hotel Management, wana uzoefu wa miaka 3 katika Housekeeping na Waitress ila wapo tayari kujifunza kazi nyingine pia.
Ikiwa una nafasi ya kazi inayoendana na sifa hapo juu,tafadhali tuwasiliane: 0713260027 AU niPM, nikuunganishe nao, wanaishi hap Arusha mjini.
Kuna kijana mwingine wa kiume pia aliwahi kuja ofisini na kuomba nafasi ya kazi, yeye ana umri wa miaka 24, ana elimu ya kidato cha nne, ana uzoefu na kazi za viwandani na kazi nyingine za kutumia nguvu.Yupo tayari kufanya kazi yeyote ili mradi apate ridhiki halali. Anaishi Arusha mjini.
Ikiwa unamhitaji tuwasiliane ili nikuunganishe naye: 0713260027 au ni PM.
Asanteni wote, tusaidiane ili nao wapate mkate wao wa kila siku.