Vacancy: Mosa Super Powers and Cleaning

Vacancy: Mosa Super Powers and Cleaning

ednx

Member
Joined
Mar 7, 2014
Posts
20
Reaction score
15
Msp cleaning company

mspc ni kampuni inayojihusisha na masuala ya usafi wa maeneo mbali mbali pamoja na kuuza dawa hivyo basi, wanahitajika watu kumi (10) wa marketing haraka iwezekanavyo kwaajili ya promosheni ya dawa zetu karibuni sana.
Sifa za mwombaji:
Cv au elimu kuanzia darasa la saba na kuendelea
ujuzi wa kazi husika
umri usiozidi miaka 35
awe anaishi maeneo ya dar es salaam
wanawake wana hamasishwa kuomba nafasi hii

wasiliana kwa namba.0658 848474 au 0712 768280
 
Mshahara ni makubaliano na pia unaeza kuwa unaongezeka kulingana na utendaji kazi wako
 
Biashara tuna uzaje kutembeza mtaani au mna ofisi zenu?
 
Hizi ndio kampuni zetu za kibongo kwa sasa,wenzao wakenya wanajipanga vizuri sana,wakati hapa kwetu kila kampuni ni kuzururisha watu mitaani.
Na ndio maana jamaa kasisitiza wanawake,maana anajua wanaume issue hizo watazinguana kwa mshahara hewa.

Inamaana usipouza imekula kwako,na ndio maana hakuna mshahara kamili.

Huku Zanzibar waliletwa kibao kutoa Dar,walikuwa wanatembea mpaka unawaonea huruma na wanunuaji hakuna,hatimae 75% wote wamerudi na waliobaki wengine wamepata wanaume hukuhuku kwa maisha yalivyokuwa magum,we unatembea bila kula mpaka usiku.kwenye kuajiri uongo mwingiiiiiiiii.

Acheni Biashara za kuwazururisha watu hembu badilikeni,pelekeni pale kwenye Demand tu.
Mmekuwa kama wafugaji wakitanzania,mtu anahama na mifugo hajui wapi itakuwa hatma yake,wakati wenzao wanazalisha chakula kwa mifugo yao kwa tija na bila kuhama
 
mbaya sana mkuu ni onyonyaji wa hali ya juu
 
Back
Top Bottom