Town Planner Anatafutwa

Town Planner Anatafutwa

Jaslaws

JF-Expert Member
Joined
May 31, 2011
Posts
6,016
Reaction score
5,301
Ni matumaini yangu kua mu wazima washikaji..kama kichwa chs habari kinavo eleza natafuta town planner aliyesajiliwa na serikali anisaidie nna ka kazi kangu kadogo dogo hvi..au hata kma ajasajiliwa pia tunaweza kuongea tuone jinsi ya kufanya#yangu ni 0758144803..ntashukuru sana.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom