NGOSWE.120
JF-Expert Member
- Jul 9, 2011
- 219
- 233
Waheshimiwa wana JF,
Kwa yeyote anayefahamu naomba anifahamishe hili jambo:
1.Ukiwa mwajiriwa wa serikali kwa level ya bachelor degree(B.Ed) as Education officer II, then ukapata promotion ya kuwa Education Officer I (I mean baada ya kufanya kazi kwa miaka 3), na baadae ukajiendeleza kimasomo na hatimaye kuwa na Master degree on the similar field/education:-
(a) JE KWA SHERIA ZA KAZI ZA UTUMISHI SERIKALINI/ UALIMU NI DARAJA GANI NINASTAHILI KUPANDISHWA?(Promotion) mfano: TGTSF? TGTSG? au TGTSH?
(b) Kutokana na sheria za utumishi serikalini, ni kiasi gani cha mshahara huwa anaanza kulipwa mfanyakazi mwenye elimu ya UZAMILI (Master degree), I mean kianzio cha mshahara - basic salary? huku ukitambua kuwa wa bachelor degree anaanza na TGSD1 au TGTSD1 kwa ngazi ya shahada (bachelor) , je vipi kuhusu wa master degree?
Natanguliza shukrani zangu za dhati kwa wanaJF.