Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

On JF:

mwenye chanzo cha kuaminika pls fatilia majina kama yameshaachiwa au yanaachiwa lini..!Isije ikawa gazeti la uhuru limedanganya Uma.
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Wanajamii naomba mnisaidie majibu ya haya maswali coz nlihudhuria interview moja na nikaulizwa maswali yenyewe ni haya 1. If you were shrunk to the size of a pencil and put in a blender, how...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Nina ordinary Diploma ya Law
0 Reactions
1 Replies
2K Views
unakuta wanaume ni rahisi kumsaidia mwanamke kupata kazi kuliko kumsaidia mwanaume mwenzake....nishaweka uzi mara nying kua natafta kazi hakuna mewanamme aliyejibu juzi nka change id kua ni ke...
7 Reactions
22 Replies
4K Views
Shalom. Tulikua katika maombi ya siku ishirini na moja, kwaupande wangu sijui tulikua wangapi katika maombi hayo lakini Mungu wetu anajua tulikua wangapi. Namshukuru Mungu wa Israel tumemaliza...
12 Reactions
15 Replies
4K Views
Job opportunity for a Field Assistant (research) Mbarang'andu - Tunduru - Liwale Tanzania Natural Resource Forum (TNRF) is an Arusha based network organization that focuses on the improvement of...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari wana JF. Kuna nafasi za loan officer zilitangazwa humu karibuni. Na application inafanyika online via recruitment@acbtz.com but kila nikituma application inakataa kwenda. Naomba msaada wenu.
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Wadau Tafadhali sana naomba tusaidiane. Kazi za PPF zinatakiwa kujazwa ONLINE, lakini ni lazima ujisajili kwenye system kama vile TRA, sasa tatizo ni kwenye kuonisha maneno (MATCHING THE WORDS)...
1 Reactions
14 Replies
5K Views
Wadau, Naomba mnijulishe makaratsi yatakiwayo kusajili, kuanzisha au kufungua kampuni. Nashukuru kwa msaada wenu, nimechoka kuomba kazi, nataka nitengeneze kazi za kuwaajiri wengine.
0 Reactions
27 Replies
7K Views
Kwa anayeelewa kampuni ya CPTZN ya DSM chang'ombe inahusika na mambo gani, vision na mission. Maana kesho naenda kufanya interview.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Ivi ni kweli mshahara wa mwalimu level ya degree ni sawa na mshahara wa Nurse level ya cheti? na kama ni kweli vipi Nurse level ya diploma anamzidi mwalimu kiasi gani? Na kama si kweli kuna haja...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Dear JF Members, I am a lady of 32 years, having ten years experience working as Personal Secretary/Administrator, I am now looking for job, Please contact me through 0762238308 and...
0 Reactions
0 Replies
741 Views
Heshima yenu wakuu, naomba msaada kwa anayejua website inayoonyesha nafasi mbalimbali za consultancy kwenye NGOs mbalimbali mf. Evaluation, training n.k
0 Reactions
0 Replies
868 Views
Tanzania Revenue Authority (TRA) was established under the Tanzania Revenue Authority Act No.11 0f 1995.The Authority is a semi-autonomous agency of the Government responsible for the...
2 Reactions
26 Replies
33K Views
Katika pilikapilika zangu za kutafuta mtaji wa pesa kwa ajili ya kufanyia biashara, nimeenda katika taasisi fulani ya kifedha na wakanipa vigezo vyao kuwa inabidi niwe na TIN namba ya biashara na...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Area: Dar Es Salaam Application Deadline: Mar 20, 2014 Position Description: Secretary Job Agency (SJA) SJA is an international training and job agency reputable company working to promote and...
1 Reactions
11 Replies
4K Views
Hi. Ninapenda sana kujishughulisha na utunzaji mazingira mfano, kusafisha takataka katikati ya miji, lakini sina na sijui pa kuanzia,nimejaribu ku apply kwenye mashirika tofauti duniani but...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Anahtajika dereva bajaji wa kuandkshana mkataba, 150000-170000 kwa wiki, kwa mda wa miezi 18 baada ya hapo inakua yake. Nipo Dar 0659936528
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mie nilikua na bajaji na dereva alikua ananisumbua sana wakati nilimpa bajaji mpaya alikua ananiletea elfu80 au 50 kwa wiki eti kazi mbaya hamna wateja na ilikua kosa yangu nilimpa bila mkataba...
0 Reactions
21 Replies
9K Views
Habari zenu wanajamvi! Mimi ni kijana (mvulana), ninaelimu yangu ya kuungaunga, nimegraduate mwaka 2011 kozi ya utunzaji kumbukumbu ngazi ya cheti (certificate of records management) Nimefanya...
1 Reactions
28 Replies
5K Views
Back
Top Bottom