Jamani, mwenzenu kiukweli paper imenikamata mno hadi nikajuta kwanini nimetoa pesa yangu ya nauli, gesti na matumizi mengine kwenda kufanya mtihani mgumu kiasi kile ambao sijawahi ufanya katika usaili wowote, binafsi nimejuta na nazidi kuona kupata kazi ni kazi mno!
Nawasilisha wadau!
Nawasilisha wadau!