Mimi ni msichana niliyezaliwa mkoa wa Morogoro nipo Iringa Chuo nasoma Mambo ya Biasha, kwa mwenye ndugu, jamaa hata rafiki au binafsi anayemiliki kampuni yoyote ya biashara mkoa wa Morogoro...
NAFASI MPYA ZA KAZI KAMPALA INTERNATIONAL UNIVERSITY MWISHO TAREHE 27/3/2014
Public Relations Officer
Company:Kampala International University Dar Es Salaam Constituent College
Location:Dar Es...
Wanajamvi naomba msaada kwa mtu yoyote aliyesikia tangazo la kazi kwa walio soma hotel management,kwa dada yangu yupo nyumban zaidi ya mwaka akitafuta kazi mpaka leo.
naomba mwnywe update ya...
Mwenzenu nimekosa interview ya udom sababu ya kuchelewa kupata information kupitia cm yangu! Sikuwepo hewan kwa kipindi cha siku 3 sababu ya ubovu wa simu yangu na naami wakati wametoa shortlist...
Jaman member wa JF,maisha yamekuwa magumu sana kwangu.
Naomba hata mwenye kuniajiri hata kuuza duka,kuuza restaurant ,
Kazi yoyote halali niko tayar kufanya jaman.
Naomba msaada wenu wapendwa.
Jamani wadau hebu tusaidiane katika swala hili la kuomba ajira na mnapopata taarifa za nafasi za kazi, kutoka maeneo gani na nini na wapi
1. kuna watu humu ndani huwa wanakuja na post...
Ndugu wa jamiiforum natafuta kazi ugum wa maisha umenisababishia kuacha mpaka shule niko ubungo kama unakazi au unataka msaaidizi niko tayari mie ni mzoefu wa kufanya kazi hizi hapa kulima, kuuza...
Qualities and Qualifications:
-Diploma/Graduate in PSPA/HRM/ or BBA
-Litle but wide experience
-Able to work long hours
-Leaving in Dar es Salaam(particulary Kinondoni)
-Multitalented( in doing...
Takribani miezi miwili na ushee imepita tangu nilipofanya usaili na kampuni flani ambayo nisingependa kuitaja jina.Niliomba post flani wakaniita nikafanya usaili then baada ya muda kidogo...
Vacancy
Vacancy
Monday, 10 March 2014 09:22
The Management of Sokoine University of Agriculture (SUA) invites qualified Tanzanians to apply for positions for Tutorial Assistants (TAs) (<35 yrs...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.