Mimi nahitaji shule ya kufundisha haya masomo hapo juu yaan History and Civics. Nina shahada ya Sayansi ya jamii katika Historia. Sichagui sehemu ya kufanya kazi hata mkoani naweza fanya kazi hii...
Kijana yeyote bila kujali jinsia ambaye amehitimu kidato cha sita kuanzia mwaka uliopita anahitajika hapa Mbeya ili asaidie kufundisha.
Masomo yake yanapaswa kuwa ya sayansi.
Ukiwa mhusika au...
The Tanzania Electric Supply Company (TANESCO) is focusing on increasing the outreach and service quality of its Energy products for Tanzania people. Next to its current passion as a leading...
Imenishangaza sana kuona utumishi wanaita interview watu 1045 wakati nafasi walizotangaza ni 5 tu. Au ndiyo namna ya kuwazuga Watz? Inawezekana mna watu wenu, mnazuga ili kila mtu akikosa ajue...
Any body with informations from Sumatra on the the post they advertised at the end of 2013 please help, I heard that their calling candidates, is it for oral or written interview any body with...
Habari wadau,
Mimi ni graduate wa 2012 pale SUA (BSc. Agricultural Economics and Agribusiness), nipo hapa Dodoma nikifanya kazi ya mtu stationary karibu na SJUT. ofisi hii ni ya Mhadhiri mmoja...
Mimi ni kijana wa miaka 24 nimehitimu kidato cha sita 2012, nilipata bahati ya kujiunga na chuo kikuu cha Dodoma 2012-2013 kwa bahati mbaya nikakosa mkopo.
Nilijaribu kufuatilia Loan Board ila...
Salam kwenu wana JF
Natafuta kazi iwe ya stationary, sekretary au reception . Nina uzoefu wa miaka (3)
Au hata ya kufanya usafi maofisini au kuuza duka lolote me nafanya bora nipate rizki ilio...
Hi wanajf ushauri tafadhal, mm niko Dar es salaam nimegraduate public administration mwaka 2012 ajira imekuwa ngumu hvyo naendesha biashara ndogo uswahiln(kiduka) chenye thaman km 1,400,000...
Wanajamii natumia fursa hii kuwatahadharisha juu ya watu ambao wamekuwa wakiwapigia simu watu waliowalenga wakiwaahidi kuwaunganishia kazi katika kampuni zinazojihusisha na uchimbaji wa madini...
Habari za jioni wandugu.
Naomba msaada kwa yeyote anayejua kuhusu alama za ngazi hizi za mishahara ya serikali, yaani
TGHS A,
TGHS B,
TGHS C,
TGHS D,
TGHS E,
TGHS G
Na kama kuna zengine na...
Naamini humu kuna watu walifanya written interview kule udom mwaka juzi/jana, kwa msaada wao kwetu sisi tunaoenda kufanya interview kama hiyo yao tena at the same place, NINAWAOMBA MTUPE SAMPLE YA...
Job Opportunity in ASA Tanzania
ASA Microfinance (Tanzania) Limited, incorporated under the Companies Act 2002 (No. 93819) of Tanzania and an affiliate of ASA International (ASA International)...
Wadau mimi nshawahi ajiriwa serikalni kama mwalimu ila badae nkakimbia mazingira magumu, kilichofata mkurugenzi akafunga mshahara na badae akanifuta kabisa kwenye payrole.
Kama bahati...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.