UDOM wameshortlist kwa mlioomba kazi zao

UDOM wameshortlist kwa mlioomba kazi zao

Wale walioapply BOT wakae mkao kesho majina yanatoka
 
Wale walioapply BOT wakae mkao kesho majina yanatoka

mh wewe umetoka kuanzisha uzi unauliza ishu za lini usail BOT na hujajibiwa hata na member mmoja sasa hizi taarifa umezitoa wapi
 
Wamefanya fasta fasta sana

tuseme hujui kwanini wamefanya fast fasta? ujue hwachajachambua izo application. cha kufanya wamezichukua tu kama zilivyo idadi ya bahasha wanazotaka kisha wakazishortlist.

yale yale ya kuita watu 200 kwenye nafasi ya.watu.5.

Mfano hai: System and network administrator wanahitaji 4 wameshort list 156.

ingawa nasikia itapigwa kwanza test, kisha ndio oral, ila kuwaita watu kutoka Kigoma, Lindi, Sumbawanga... kwenye interview akiona hiyo idadi si anakata tamaa?
 
Sas mkuu inamaana wanawatu wao tayar ambao hawapo kwenye list ya usaili au wameita wote alaf watachagua humohumo
 
mbona website haifunguki, msaada wakuu kwa aliyeweza kufungua
 
mbona website haifunguki, msaada wakuu kwa aliyeweza kufungua

Website nzima haifunguki mi naona kinachofunguka ni matangazo. Ukifungua link hiyo ya usaili ikiload ikimaliza shuka chini maelezo wanatoa chini ya matangazo
 
Mi nimebofya hapo aliposema baba junior imefunguka.then nikabofya kweny administrative officers.jaribu tena
 
Bofyen hapo aliposema baba junior then bofya tena kweny admin officers/staff kuna majina ya walochaguliwa
 
siyo kama nakukatisha tamaa nilifanya interview ya udom mwaka 2012,kilichotokea ndo maana hata hizi kazi nilivyoziona nikazihacha tu,,,usanii mtupu,,watu walikuwa wameshatoa pesa,,kuna msela wangu wa karibu alitoa laki 5 akapewa maswali na mm alinipa hayo maswali lakini kwa sababu sikutoa pesa sikuitwa kwenye oral ila msela aliitwa na akapata hiyo kazi,,,taadhari wale wa mbali please msisumbuke hako ka nauli kako na hela ya guest fanyia ishu nyingine,,,
 
Acha fix mkuu
 
Back
Top Bottom