Natafuta kazi ya kufundisha Physics

Natafuta kazi ya kufundisha Physics

PRESIDA TO BE..

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2012
Posts
302
Reaction score
200
Kwa yeyote ambaye anataarifa kuhusu anayetaka au shule onayotaka mwalimu wa physics hapa DSM Anisaidie kunipa taarifa.
 
tunahitaji mwalimu wa advanced physics
kuna interview mbili moja unaanda marking scheme p1 na p2
ya pili unaenda kufundisha topic yoyote ya six au five utaijua ukiingia class
 
Tembea pia na kwenye mashule meng huwez kosa job coz umesomea hayo ya physics am sure u wont miss
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom