Mwenye detail kuhusu majina ya konsitebo wa zima moto tafadhali tujulishane kama majina haya yametoka kwa ajiri ya usaili Ntashukuru kwa ushirikiano wenu.
Wapendwa wana JF, hivi karibuni yametoka majina kwa ajiki ya usaili kwa ngazi ya Mkaguzi msaidizi wa zimamoto ambayo maombi yalitumwa kwa Katibu mkuu wa Wizara ya mambo ya ndani, Sasa naomba...
Audit ManagersCompany:Auditax Intetnational
Location:Dar Es Salaam
POSITION DESCRIPTION:
From the Guardian of 13th March
Auditax Intetnational endeavors to become the world's leading professional...
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 24, nimehitimu chuo kikuu Mzumbe. Nina shahada ya kwanza ya utawala/uongozi wa biashara katika masoko (BBA-MARKETING).
Position: Assistant accountant...
Pitieni website ya hiki chuo wametoa tangazo lenye majina ya waliochaguliwa kuhudhuria usaili wa nafasi za kazi walizotangaza.
Hongereni na kila la kheri wote mlioitwa kwenye usaili hiuo.
Mimi nimeajiriwa katika wizara elimu ,toka mwaka 2010,ila nilitaka kuhamia katika halmashuri yeyote iliyoko kanda ya ziwa kwa sababu ya family issues kwa yeyote anaejua utaratibu pls anisaidie...
0652436216
Natafuta kijana wa kuuza bucha la samaki, awe anakaa mitaa ya mbagala.
-kazi yake itakua kupima na kuuzia watu samaki
-kutafuta masoko kwa wateja wa jumla
-kufuata mzigo mabibo...
Habari zenu wana member hakuna aliyetangaza kazi humu? Bado nipo na hustle nobody gone help me i regret it my best what should i do?
Your comment please.
Nunua daily news ya jana kazi kibao
========= KAZI HIZI HAPA ===================
Jobs at BUGANDO MEDICAL CENTRE:
Bugando medical centre is therefore inviting suitably qualified Tanzanians to...
NAFASI MPYA ZA KAZI INUKA MWISHO TAREHE 21/3/2014
AFISA MIPANGO(NAFASI 8)
KAMPUNI:INUKA
SEHEMU:Iringa
MAELEZO YA KAZI:
MSHAHARA TSH 500,000/=
Awe amesoma chuo kinachotambuliwa na serikali
Awe na...
Naomba updates za PPRA(PUBLIC PROCUREMENT AUTHORITY) ..Walitangaza nafas za kaz mwaka jana mwishon..lakin hadi Leo kimya.mwenye kujua lolote naomba anijuze.asanteni.
Habari zenu wana Jamii Forum.
Natafuta kijana mwaminifu na mchapakazi aliyemaliza kidato cha nne mwaka jana na kurudi nyuma anayekaa maeneo ya Ubungo sheli hadi buguruni, umri miaka 18 hadi...
Jamani msaada wenu please nimekuja Dar es Salaam kutafuta kazi yeyote maana hapa nina mwezi.
Please contact zangu izo hapo airtel 0685816103 mda wowote ndugu niko hewani
Loh! Jamani nyie, wenzenu hapa NBC bank head office tunapumulia oxygen. Wanataka kupunguza kazi wafanyakazi kibaao, kigezo bank inaingia hasara.
Mbona majanga jamani.
Kama kuna anayetaka hata...
Amani ya bwana wapendwa,
Ndugu zangu mimi nina Diploma ya Jonalism natafuta kazi pia nina d4 ya Kisw, Eng, Biology,na History.
Nisaidieni chuo gani naweza kusoma.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.