Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

On JF:

Taarifa kutoka katika chanzo cha kuaminika kabisa ni kua majina yatatoka wiki ijayo. Mtoa taarifa huyo alinitonya kua leo hii wizara ya mambo ya ndani inasoma bajeti yake then jumamosi wadau...
1 Reactions
10 Replies
4K Views
Senior Database Admnistrator Advans Bank Tanzania, a commercial bank licensed by Bank of Tanzania, offers carriers opportunities to highly skilled and motivated professionals. The institution...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
kama kawaida nimeshndwa kuziweka jamvini na kama kuna mdau anaweza kuziweka awasaidie wasiokuwa na acces kwa maelezo zaid tembelea www.ajira.go.tz
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Habari zenu jamani hope mko poa, Ndugu zangu nawashukuru kwani kuna watu wapo serious hapa nilishatafuta mfanyakazi hapa nikapata. Sifa za mhusika umri kuanzia miaka 18 msichana mwenye maadili ya...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Hello jf, kwa anaewafahamu ngo tajwa hapo juu utendaji wake wa kazi naomba anifahamishe,na pia kama kuna mtu alishawahi kufanya internship hapo anifahamishe kama wanalipa posho kidogo hata za...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
nimehitimu diploma ya ualimu mwaka huu,..natafuta shule ya kufundisha kwa muda wa mwaka mmoja.. Napatikana morogoro [URL=https://www.jamiiforums.com/usertag.php?do=list&action=hash&hash=
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Hi wadau ANAITAJIKA dada wa kusambaza vitabu mikoani,aliye tayari ani PM. Awe kufanya kazi Maeneo yoyote,mshahara ni MAELEWANO Awe form 4 at least sio more than that wakuu
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Habarini za jioni wadau. Naomba kwa yeyote aliewahi kufanya interview na Commercial Bank of Africa interview zao zinakuaje? Nimepigiwa simu usiku huu kesho saa 4 niwe nimefika kwa interview.
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Rafiki wana JF, hivi inakuaje mtu unatuma applications ila hujawai kuitwa, nikwamba hazivutii, not qualified, au hatujui kuandaa barua na CV, au hatuna refa or what? Help me please.
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Hivi Hawa Immigration ndio wameshatuchinjia baharini?
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Jamani ivi no kweli uhamiaji wametoa shortlist tayari
0 Reactions
15 Replies
6K Views
Download the attachment for more details. Deadline is 29.05.14
0 Reactions
0 Replies
941 Views
niliitwa kwenye usahili nikaulizwa kuandika hizi namba kwa maneno 2,234,345,673 2,432,434, 432,774 245,456,787 556,767,334
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Wana jf kuna nafasi mpya zimetangazwa leo na sekretarieti ya ajira, nimeshindwa kuziweka hapa jamvini na kama kuna mtu anaweza kuziweka hapa awasaidie kuziweka hapa kwa wale ambao hawana uwezo wa...
1 Reactions
3 Replies
4K Views
Nimeitwa kwa ajili ya kufanya interview na hawa jamaa wa HR solutions,kuna nafasi ya kazi nili apply lkn mpaka sasa sijajua ni kampuni gani?kwa yeyote aliyewahi kufanya mahojiano na hawa jamaa...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Join us in advocating for quality health services for all Tanzanians Introduction Sikika is a non-governmental organization that advocates for quality health services for all Tanzanians. For more...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Anatafutwa msichana wa kufanya kazi kwenye stationery mwenye sifa zifuatazo: Awe anafahamu vizuri kutumia computer na internet Aweze kuchapa/kutype maneno zaidi ya 40 kwa dakika Awe anajua...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Yapo baadhi ya makampuni, kama CRDB wameweka chaguo la kuwatumia CV katika tovuti zao. Nina swali kwa wadau, je huu mfumo huwa wanaufanyia kazi yaani kuna watu wanafanikiwa kupata ajira kwa...
0 Reactions
7 Replies
4K Views
Samahanini kwa usumbufu wakuu.mimi ni mmoja wa watu tulioitwa kwenye usahili wa idara ya uhamiaji,tarehe yangu niliyopangiwa ni 17/july,nilikua nauliza,huko huwa wanauliza maswali gani,na je kuna...
0 Reactions
23 Replies
9K Views
POSITION DESCRIPTION: Nafasi ya Kazi ya Kuvuna Muwa – Nafasi 586 Uongozi wa Kampuni ya Sukari Kilombero unatangaza nafasi za kazi ya kuvuna muwa katika msimu wa uzalishaji wa 2014/2015...
0 Reactions
30 Replies
11K Views
Back
Top Bottom