Tulifanya interview mbili pale bandari , tukaambiwa tutapigiwa simu ndani ya siku 14 either umepata au haujapata ,sasa yapata wiki ya 6 , no missed call wala text , ndo nini hiki jaman ? Anyway me...
Mkurugenzi wa MWADILA INTERNET CAFE & SECRETARIAL SERVICES ya S.L.P 184 BARIADI,
Aanakutangazia wewe mkazi wa Mkoa wa Simiyu na Wilaya zake kuwa baada ya shida za muda mrefu za kukosekana kwa...
The Engineering related company based in Dar es salaam
Form four leaver MUST have a CERTIFICATE IN computer skills-Microsoft office
Age and Gender : Female preferably 20th to 24th
N.B...
Ndugu wanajamii.
Kwa wale wote ambao ni mahakimu naomba wanisaidie yafuatayo: moja usahili hufanyika Mara moja tu au Mara mbili? Yaani huwa kuna kuwa na oral interview and written? Pili huwa...
jaman eti kuna tetesi nimezipata kuwa ppra tayar walishafanya oral interview wakat walisema kuwa watatoa taarifa kupitia website ya tume ya ajira.mwenye taarfa yoyote kuhusu hil swala naomba atupe...
Wakuu, kuna watu waliitwa interview TPDC baada ya kupita katika ile mitihani. Vipi mbona hakuna feedback? Mbona hatuambiani Oral ipoje ili na sisi tujiandae?
Kama tulivyowekeana matangazo...
Natafuta interniship kwa kampuni au shirika lolote ,msaada pls
elimu yangu ni degree ya sheria (llb)
iwe dar au morogoro
kwa anae fahamu mahali ninapoweza pata hiyo nafas pls anitext in pm
thanks...
Msaada jamani mwenye uwezo wa kunipatia internship ktk kampuni yoyote hapa dar es salam ani PM.Tajigaramikia nauli na chakula
Qualification ni diploma in accountancy.
Ahsanteni
WE ARE IN NEED FOR
1. structural/civil engineer- graduates with two years experience both on site works and design works.
2. structural /civil technicians - FTC holder with two years experience...
nimetafuta sana kazi bira mafanikio tukaamua mimi na mchumba wangu tuwe tuna amshana saa9 usiku kwa maombi maalum,ndugu zangu Mungu kajibu haraka nimeitwa kama sehemu tatu amakweli binadamu...
Kuna kampuni moja inahitaji sales&marketing executives mwenye vigezo vifuatavyo ani pm....
Certificate or diploma in marketing..
Minmum 1yr experience in marketing....
Salary 400-500.....
Working...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.