Join us in advocating for quality health services for all Tanzanians
Introduction
Sikika is a non-governmental organization that advocates for quality health services for all Tanzanians. For more...
Kwa wale walioomba nafasi za kazi Uhamiaji ktk vitengo vya Koplo na Konstebo majina yametoka..waweza tazama jina lako #www .immigration.go.tz....Pia kwa walioomba nafasi TANROADS zilizotangazwa...
Jamani samahanini enyi rafiki zangu. Nauliza hivi eti nafasi za professional kwa upande wa JWTZ zinatoka lini? Naomba mwenye idea na hii issue anipashe. JKT wanachukua mwisho form six but for...
Jamaa hawa walisema usipopata taarifa siku saba toka deadline ambayo ilikuwa tarehe 6 mwezi huu ujue hujafanikiwa kwenye post za Team Leader na Freelancer. Sasa leo ndo mwisho bila shaka, vipi...
Kama unahitaji kuhamia kwenda Songea Manispaa, nije moja ya wilaya yeyote kati ya Kibaha mjini, Morogoro mjini na Dar-es-Salaam. Namba yangu ni 0787419289 piga au tuma sms muda wowote.
Natafuta kazi ya IT technician nimeitimu kozi yangu katika chuo kikuu dar es salaam (UCC) mwaka 2012 ngazi ya certificate . Natafuta ajira mahali popote panapousiana na computer.
Najua mambo...
Kamishna Mkuu wa idara ya Uhamiaji anatangaza nafasi za kazi katika Idara ya Uhamiaji kwenye vyeo vya Koplo na Konstebo wa uhamiaji.
A: MKAGUZI MSAIDIZI WA UHAMIAJI NAFASI 70
1...
Habari wana JF, kama kuna mtu amesoma masomo tajwa hapo (community economic development/community development) kwa levo ya degree pls inbox me ur number, ili tuweze kuwasiliana zaidi na uwezi...
Majina kwa watakaoitwa kwenye interview uhamiaji wadau zimebaki week 2 kutoka sasa kwahiyo wadau waliomba nafasi huko ni muda mzuri wa kujiandaa huu na kujichunga ni hayo tu wapendwa
Habari Wakuu?
Nimesikia kuwa kuna nafasi za kumwaga zimetangazwa MSD na gazeti la Mwananchi na Daily News la tarehe 27/09/2010.Naomba mwenye hii habari atutundikie details pleeeeese!!
Habari, naitwa Mr. Raymond from EUROCARTA LTD Dar, tupo kikaoni tunapitia CV tuchague candidates wa kuinterview for FINANCE OFFICER POST, salary ni 1,200,000/=. CV yako ni nzuri nataka kukusaidia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.