Nafasi ya kazi Kilombero Sugar Company

Nafasi ya kazi Kilombero Sugar Company

prakatatumba

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2011
Posts
1,328
Reaction score
192
POSITION DESCRIPTION:
Nafasi ya Kazi ya Kuvuna Muwa – Nafasi 586
Uongozi wa Kampuni ya Sukari Kilombero unatangaza nafasi za kazi ya kuvuna muwa katika msimu wa uzalishaji wa 2014/2015

1.SIFA ZA MVUNAJI:
Awe na afya njema na mwenye nguvu
Awe na tabia njema
Awe tayari kufanya kazi na kutimiza vipimo vilivyowekwa na uongozi wa Kampuni toka mwanzo hadi mwisho wa msimu March 2015. Waliokata muwa msimu uliyopita na kupata hati safi ya utendaji watafikiriwa kwanza.

2. Ajira itaanza tarehe 19/5/2014

3. Watakaoajiriwa watapata nafasi za kuJaJa kwenye makazi ya Wavunaji.

4. Watakaoajiriwa watafidiwa gharama za nauli za basi/treni walizo tumia kuja kwa ajili ya ajira kwa viwango vya nauli vilivyotolewa na SUMATRA. Hawatahitajika kuwasilisha tiketi za nauli siku ya ajira.

5. TafadhaJi atakayesoma/kusikia tangazo hili awafahamishe wenzake.

APPLICATION INSTRUCTIONS:
ROMANUS MWAPINGA
Kny MENEJA MKUU
Msolwa Mill Office
P.O. Box 50,
Kidatu. Tanzania
Tel: +2551 23 262 6011
 
Nijuzeni salary ngapi?na ugumu wa hii kazi kwa mwenye kujua

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Nafasi ya Kazi ya Kuvuna Muwa –
Nafasi 586
Uongozi wa Kampuni ya Sukari
Kilombero unatangaza nafasi za kazi
ya kuvuna muwa katika msimu wa
uzalishaji wa 2014/2015
1.SIFA ZA MVUNAJI:
Awe na afya njema na mwenye nguvu
Awe na tabia njema
Awe tayari kufanya kazi na kutimiza
vipimo vilivyowekwa na uongozi wa
Kampuni toka mwanzo hadi mwisho
wa msimu March 2015. Waliokata
muwa msimu uliyopita na kupata
hati safi ya utendaji watafikiriwa
kwanza.
2. Ajira itaanza tarehe 19/5/2014
3. Watakaoajiriwa watapata nafasi za
kuJaJa kwenye makazi ya Wavunaji.
4. Watakaoajiriwa watafidiwa
gharama za nauli za basi/treni
walizo tumia kuja kwa ajili ya ajira
kwa viwango vya nauli vilivyotolewa
na SUMATRA. Hawatahitajika
kuwasilisha tiketi za nauli siku ya
ajira.
5. TafadhaJi atakayesoma/kusikia
tangazo hili awafahamishe wenzake.
APPLICATION INSTRUCTIONS:
ROMANUS MWAPINGA
Kny MENEJA MKUU
Msolwa Mill Office
P.O. Box 50,
Kidatu. Tanzania
 
Kazi ni ngumu na unafanya mpaka sa kumi na mbili jioni baada ya kunywa chai asubuhi..Unalipwa 2,500 (Elfu mbili mia tano) kwa siku...
Kazi kwako kijana.
 
Kuna kiambatanisho chochote kinacho takiwa?

Hamna hawahitaji msomi wanahita kijana aliyelelewa maisha ya maadili na mwenye afya njema na nguvu za kutosha..nd maana umeambiwa uwe tayari kupimwa afya. Usije ukawadondokea shambani.
 
Unaingia na panga lako shambani,unakata miwa na kuilundika sehemu moja.Ukitoka kazini unaonekana macho na meno tu,mweusi tii.Ila vijana mkapige kazi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom