Yapo baadhi ya makampuni, kama CRDB wameweka chaguo la kuwatumia CV katika tovuti zao. Nina swali kwa wadau, je huu mfumo huwa wanaufanyia kazi yaani kuna watu wanafanikiwa kupata ajira kwa kutumia mfumo huo wa kutuma CV kwenye tovuti? Submit CV
Huo ndio ufala wa hizi Organisation za kibongo kujifanya wanaiga mbele kila kitu wakati kwanza kabisa wana roho mbaya na pili hawana iyo desturi ya kumuajili mtu wasio mfahamu yaani mpaka uwe karibu nao sasa najiuliza lile bango la CV si walitoe tuu la nn sasa wakati wanachukua watu wao waliopo Intern au Field!!!:A S-confused1:
huu ni mchezo wa kupamba mitandao yao ionekane ya kimataifa ila kazi inayopatikana ni ya kishikaji..kwanza mshikaji akuambie uende uonane na mkuu wa kitengo uje interview na kadharikaaa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.