Mwenye uelewa kuhusu watu walioitwa kwenye usahili-idara ya uhamiaji. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mwenye uelewa kuhusu watu walioitwa kwenye usahili-idara ya uhamiaji.

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by Perry, Jun 28, 2012.

 1. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #1
  Jun 28, 2012
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,029
  Likes Received: 868
  Trophy Points: 280
  Samahanini kwa usumbufu wakuu.mimi ni mmoja wa watu tulioitwa kwenye usahili wa idara ya uhamiaji,tarehe yangu niliyopangiwa ni 17/july,nilikua nauliza,huko huwa wanauliza maswali gani,na je kuna mchujo mwingine unapita huko au mtu ukisha itwa kwenye interview ndio tayari ushapata ajira,na je kuna kupigishwa kwata tena kama jwtz au wao ni training ya kawaida tu?ndio hayo tu wakuu,naomba anae jua anisaidie.
   
 2. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #2
  Jun 29, 2012
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,029
  Likes Received: 868
  Trophy Points: 280
  Mbona kimya wakuu?
   
 3. Kilahunja

  Kilahunja JF-Expert Member

  #3
  Jun 29, 2012
  Joined: Dec 19, 2011
  Messages: 1,498
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Intaview maana yake mahojiano, wanapima uwezo wako kama unafaa, kumbuka mko wengi, so wanaangalia kwanin wakuchukuwe wewe na si mwingne.

  Swali lako la pili, jibu ni kuitwa usahili sio ndio kupata kazi, upatikanaj wa kaz utategemea kama utaqualify.

  Na ikitokea umepita, then utaenda KWATA mjini MOSHI kwa miez 6, then utapangwa sehem mbalmbal kutegemeana na uhitaji, e.g bandarini, makao makuu, airport, kwenye mipaka e.t.c weng hawavai uniform..
   
 4. P

  Pvitalis Member

  #4
  Jun 29, 2012
  Joined: Jun 24, 2012
  Messages: 20
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kwata Ni Miezi 10 Had
  11.....Hua Mnafanya Na
  Polisi Ila Polisi Hua
  Wanatoka Baada Ya Miezi
  6......
   
 5. T

  TATOO Senior Member

  #5
  Jul 1, 2012
  Joined: Jul 1, 2012
  Messages: 113
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  jamani mwenye link ya majina ya waliochaguliwa uhamiaji naomba aniwekee hapa nione na mimi maana nipo kijijini sana sina mtandao wa magazeti...tafadhali naomba msaada wenu jaman naomba tafadhali sana jaman
   
 6. Mhindih

  Mhindih JF-Expert Member

  #6
  Jul 2, 2012
  Joined: Mar 14, 2011
  Messages: 314
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 45
  Mwisho kabla ya kuchukuliwa kuna kile kipimo kikubwa. Jiandae pia kwa hlo ukipita hapo ndio depo sasa, ukimaliza ndio ajira.
   
 7. Asterisk

  Asterisk JF-Expert Member

  #7
  Jul 2, 2012
  Joined: Jun 1, 2012
  Messages: 215
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Google is everything
   
 8. Jokanana

  Jokanana Member

  #8
  Jul 2, 2012
  Joined: Dec 28, 2011
  Messages: 41
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Interviw italenga zaidi ile organisation unayoendsa kufanya kazi.Hivyo jitahidi ujue shughuli za organisation hiyo na zipi kazi za afisa uhamiaji.
   
 9. lincolinjnr

  lincolinjnr Member

  #9
  Jul 2, 2012
  Joined: Mar 19, 2012
  Messages: 39
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 15
  maswali ni ya kawaida tu mambo ya civics, uraia nk baada ya hapo ni kwata kwa kwenda mbele mnaweza kwenda ccp au kiwira au jkt ruvu kati ya miezi 6 na mwaka mmoja zen mnapangiwa vituo pia kuna suala la upimaji afya (ukimwi) kabla wakati na baada ya mafunzo ni hayo tu kiongozi
   
 10. i

  inoxidable onyenyo New Member

  #10
  Jul 13, 2012
  Joined: Jul 12, 2012
  Messages: 2
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jamani nisaidieni kitu kimoja ni lini hao walioapply wataenda mafunzoni?kwa anayefaham anijuze
   
 11. YEYE

  YEYE JF-Expert Member

  #11
  Jul 13, 2012
  Joined: Nov 12, 2011
  Messages: 440
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Aaaaah! Mishahara ya hapo uhamiaji we si ndo ulikuwa unaiponda unaita ni POSHO? imekuaje tena!?
   
 12. M

  Mudamali Member

  #12
  Jul 14, 2012
  Joined: Jun 15, 2012
  Messages: 52
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Aiseee! Mwenyewe nimekuwa nikipitia comments zake nyingi hapa JF na nilijua ni m2 aliyeajiriwa tena post kubwa sana hapa TZ, Kumbe naye bado ni mlamba nyayo.

  Pole sana ndug ila utapata.
  ni hayo tu.
   
 13. prakatatumba

  prakatatumba JF-Expert Member

  #13
  Nov 12, 2013
  Joined: Oct 17, 2011
  Messages: 1,337
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Hivi hawa watu wameshamaliza depo?
   
 14. d

  daniel kihara New Member

  #14
  May 13, 2014
  Joined: May 12, 2014
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  nan anamuongozo mzima juu ya usahili wa uhamiaji
   
 15. M

  Matatika Member

  #15
  May 13, 2014
  Joined: Jun 18, 2013
  Messages: 21
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Bado aise, naskia mpaka june.
   
 16. K

  K.hewa Senior Member

  #16
  May 13, 2014
  Joined: Oct 18, 2012
  Messages: 165
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  majina yako site gani mkuuu nasi tutazame
   
 17. kbosho

  kbosho JF-Expert Member

  #17
  May 13, 2014
  Joined: Jun 4, 2012
  Messages: 12,505
  Likes Received: 3,314
  Trophy Points: 280
  mdogo wangu kaomba ila ajui pa kuangalizia majina
   
 18. ukawa

  ukawa JF-Expert Member

  #18
  May 13, 2014
  Joined: Apr 16, 2014
  Messages: 276
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  mdogo wako au ww mwenyewe achaaa kuzuga
   
 19. U

  UNLOCK JF-Expert Member

  #19
  May 13, 2014
  Joined: Mar 9, 2014
  Messages: 269
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Huu uzi wa 2012 jamani wadau so be carefull aka mcwe na presha.
   
 20. SIKAUKA MHAPA

  SIKAUKA MHAPA JF-Expert Member

  #20
  May 13, 2014
  Joined: Jun 11, 2012
  Messages: 247
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  uzi wa toka june 2012 sijui nani kautifua huko mafichoni anawatia watu kichaa bure ngoja na mimi leo nitifue uzi wa zamani kama huu tuone
   
Loading...