Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

On JF:

Hellow everybody, I am a prominent and experienced teacher with a bachelor of Geography (Udsm-2010) in JOB finding for either a temporary or permanent teaching vacancy, I am available to all Dar...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari wana JF? Ninashahada ya historia, advance nimesoma HGK. Natafuta kaz ya kufundisha history na geography. Atakaenihitaji tuwasiliane 0765201963.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
nimesikia kutoka kwa rafiki yangu kua amana bank wametangaza nafasi za kazi ktk gazeti la mwananchi ila sijafanikiwa kuliona,je deadline ni lini?na je sisi wala kitimoto aka wakristo tunaruhusiwa...
0 Reactions
18 Replies
13K Views
Application 14/02 to 27/02 Shortlist release may first week Interview June Good day brothers
11 Reactions
479 Replies
127K Views
Jaman majina ya waliopita kwenye usaili wa sajini zimamoto vipi mbona kimya? wewe watu mbona wameitwa kazini angalia majina kwenye tovuti ya wizara ya mambo ya ndani Ministry of Home Affairs - Home
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Nina miaka 29,nna diploma ya records management kutoka chuo cha utumishi wa umma (TPSC) pia nshawai kuwa Mwl wa English medium 4 yes experience,computer literate.. Pls nisaidieni.
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Habari wana-jukwaa, naomba kwa anaefahamu zilipo ofisi za uwakala wa ajira JOB CONNECT anisaidie.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wote tunajua kupata kazi ni tatizo ,kuna technic za kutafuta kazia ningepeta kushare na wenye uhitaji, I have written them in summary once I have time I will write in full,it is from a book in my...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Oi..Samahani wadau wa JF nilikuwa naomba msaada wa jinsi ya kuapply mafunzo ya ualimu online ktk website hizi hapa zifuatazo:- Waombaji watume maombi yao kwa njia ya MTANDAO (online application)...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Nipo arusha natafuta kazi receptionist najua sana computer kwakuwa nimesomea..experience 2 year kampuni na mahotel ahsante
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Kwa wanaofahamu mshahara wa graduate field engineer kwa hizi kampuni za baker Hughes na Schlumberger anijuze Mimi Ni graduate coet.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Salamu wana JF. Jamani naomba tujuzane kwa wale tuliofanya aptitude test 24th march. Vipi ndugu zangu kuna aliyeitwa oral interview. Please tuambiane ili tujue kama wengine ndo imetoka.
0 Reactions
14 Replies
4K Views
Habari wana jukwaa. Mimi ni kijana wa kiume,nina takribani miaka 30 sasa, nimemaliza degree ya sayansi UD yapata miaka mine sasa na sijafanikiwa kupata ajira ya kuajiriwa popote pale. Nimejaribu...
2 Reactions
23 Replies
6K Views
Habari wadau, kuna jamaa kanipigia simu leo anajiita Dr Wamarwa anasema yeye ni mwanasheria wa TANAPA Iringa, anasema anataka kuajili watu TANAPA kwaajili ya miradi maalum. Kinachonichanganya ni...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Habari zenu, mi nina swali limenichanga katika upande wa PPRA post ya Procurement Officer ii. Wakati wanashortlist majina ya written walisema watakaofaulu written interview tarehe 6 yani kesho...
0 Reactions
16 Replies
4K Views
Habari, naitwa Mr. Raymond from EUROCARTA LTD Dar, tupo kikaoni tunapitia CV tuchague candidates wa kuinterview for I.T. OFFICER POST, salary ni 1,200,000/=. CV yako ni nzuri nataka kukusaidia...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Haya wanajamvi utumishi wametangaza tena ajira pitieni website yao www.ajira.go.tz...... ... Mwenye kuweza kucopy aweke hapa... Nawasilishaaaa...
1 Reactions
8 Replies
4K Views
Job Title: Branch Manager Requirements: A university degree or equivalent academic qualification in business subjects Job Description: Build, develop and motivate a high performing team...
1 Reactions
25 Replies
25K Views
Naamini kuwa JF members mko wazima wa afya njema. Kuna tatizo kubwa katika mfumo wa upatikanaji wa kazi/ajiri nchi kwetu kwani ukisoma matangazo au ukienda kuomba kazi unaambiwa unatakiwa uwe na...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Mtaalamu wa umeme mwenye uzoefu na cheti cha diploma anahitajika haraka iwezekanavyo Pia tuna nafasi ya Flight Operation Officer,kama una vigezo au unamfahamu mtu mwenye vigezo tafadhali tuma CV...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Back
Top Bottom