kishegheni
Member
- Mar 6, 2012
- 21
- 85
Anatafutwa msichana wa kufanya kazi kwenye stationery mwenye sifa zifuatazo:
- Awe anafahamu vizuri kutumia computer na internet
- Aweze kuchapa/kutype maneno zaidi ya 40 kwa dakika
- Awe anajua kiingereza
- Awe anaishi maeneo ya Keko, Chang'ombe au Temeke