Mfanyakazi wa Ndani Anahitajika Haraka Arusha

Mfanyakazi wa Ndani Anahitajika Haraka Arusha

ameline

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2013
Posts
2,292
Reaction score
1,152
Habari zenu jamani hope mko poa,

Ndugu zangu nawashukuru kwani kuna watu wapo serious hapa nilishatafuta mfanyakazi hapa nikapata. Sifa za mhusika umri kuanzia miaka 18 msichana mwenye maadili ya Kitanzania (sitaki sistadu) elimu kuanzia form four, awe single (asiwe na mume) kazi za kufanya. Kazi za ndani kama usafi wa nyumba (nyumba ni ya ghorofa 1) , kupika kufua kupiga pasi n.k

Eneo la kazi ni Arusha mjini na mshahara ni kiasi cha Tsh. 120,000/= (kama ukimudu kazi vizuri). Mengineyo utaishi kwangu, utakula kwangu, ukiumwa nitakutibu, utakua kama ndugu yangu wa damu you will enjoy. Hutakua peke yako yupo mwenzio ila anaangalia watoto. Yupo mlinzi na mtunza bustani so kampani ipo. Naogopa kuweka namba hadharani ila anaependa nafasI hii anipe namba nitampigia.au kama una swali la ziada uliza. Hata huyu nIlienae nimempata humuhumu JF. Huwa siangalii kazi bali thamani ya kazi yenyewe.

So huo mshahara ni halali kabisa kwa anaejituma.

NB: ikumbukwe pia ni mmoja tu ndo nataka so atakaewahi ni bahati yake kama nikiridhika nae wengine msidhani nimewachunia.

Ahsanteni
 
Duh, Maisha haya, za man form four alikua anakua mwalimu, bt haujaongelea malipo baada ya kustaafu itakuaje, je akipata bwana wakati yupo kwako
 
Duh, Maisha haya, za man form four alikua anakua mwalimu, bt haujaongelea malipo baada ya kustaafu itakuaje, je akipata bwana wakati yupo kwako

haina shida ntamwozesha tu.
 
Wapo njiani lakini mbona wataka vigoli? Take care

mke wa mtu..ruhusa za kwenda kwa mumewe zitakua nyingi..sina nia mbaya kwan hata mim ni mwanamke
 
Habari zenu jamani hope mko poa..
ndugu zangu nawashukuru kwani kuna watu wapo serious hapa nilishatafuta mfanyakaz hapa nikapata.

Sifa za mhusika
umri kuanzia miaka 18
msichana mwenye maadili ya Kitanzania(sitaki sistadu)
elimu kuanzia form four
awe single(asiwe na mume)

kazi za kufanya
kufanya kazi za ndani kama usafi wa nyumba(nyumba ni ya ghorofa 1) , kupika kufua kupiga pasi n.k

eneo la kazi
Arusha mjini

Mshahara
TSH 120,000/-(kama ukimudu kazi vizuri)
mengineyo
utaishi kwangu
utakula kwangu
ukiumwa nitakutibu
*utakua kama ndugu yangu wa damu..you will enjoy!
*hutakua peke yako yupo mwenzio ila anaangalia watoto..yupo mlinzi na mtunza bustani so kampani ipo..
naogopa kuweka namba hadharani ila anaependa nafas hii anipe namba nitampigia.au kama una swali la ziada uliza.hata huyu nlienae nimempata humuhumu JF.
huwa siangalii kazi bali naangalia thamani ya kazi.wasichana wangu wa kaz za ndani huwa nawapa mshahara mkubwa kuliko hata wafanyakaz wengine..kama walinzi n.k so huo mshahara ni halali kabisa kwa anaejituma.
NB: ikumbukwe pia ni 1 tu ndo nataka so atakaewahi ni bahat yake kama nikiridhika nae wengine msidhani nimewachunia.
Ahsanteni

morning madam! Pls call me 0714 041313
 
Kupata form 4 mfanya kazi wa ndani sio issue ndogo, maana duh! Ila dau linavutia pia.
 
Back
Top Bottom