Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

On JF:

Habari wadau. Nilikuwa naomba kuuliza kuna taratibu gani za kufata kwa mtu anayetaka kujiunga jeshi akiwa na degree moja,na pia kuna tofauti gani kati ya JKT & JWTZ. Please nisaidieni.
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Tunahitaji sales man mwenye uzoefu na aliesomea kazi hii,mwenye uwezo wa kuanzisha masoko mapya nje ya mkoa wa Dar-Es-Salaam ,anaeweza kwenda mikoani kila mara kufungua masoko mapya na...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
ICT ASSOCIATE Location : Dar es Salaam, TANZANIA Application Deadline : 30-May-14 Type of Contract : FTA Local...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Fununu nilizozipata kwa wale walioitwa kwenye ajira nafasi ya assistant inspector wa zimamoto, kuwa baadhi hawataweza kuudhuria depo kutokana kuwa wajawazito. Kwa matokeo aya wanaweza kuita...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Ndugu wapendwa baada ya kumaliza form 4 na kufeli nilijiunga na chuo kidogo cha equator institute na kuchukua course ya clearing and cargo forwarding, ila sipati ajira aliye nishauri nikasomee...
0 Reactions
18 Replies
3K Views
1 OFISI YA RAIS SEKRETARIETI YA AJIRA KATIKA UTUMISHI WA UMMA Kumb. Na. EA.7/96/01/G/21 17 Mei, 2014 KUITWA KAZINI Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma inapenda kuwataarifu waombaji kazi...
1 Reactions
2 Replies
5K Views
Habari ya mda huu wadau, Naomba kwa mwenye taarifa aniijuze kuhusu nafasi ya Sales Executive kwa mikoa ya Shinyanga, Kagera na Simiyu iliyotanganzwa na hawa jamaa na kisha usahili kufanyika kama...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Wakuu naombeni kuuliza aliye na habari za interview ya management accountant and assistant financial accountant walizotangaza ticts anijuze.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari wana jf. Tunamahitajio ya: 1.Secretary nafasi Nne. Sifa: Awe msichana,umri usipugue miaka 19. Awe anajua vizuri kingereza,awe na typing speed. Awe muislam. Eneo la kazi ni shule za kiislam...
0 Reactions
48 Replies
6K Views
vijana wenzangu mnaomaliza elimu za Chuo ili kupata ajira bila njia ya kuwa volunteer au internship huwezi kupat ajira kirahisi
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Waungwana salama jamani,yapata sasa karibia mwezi 1 sasa tangu nipeleke barua ya kuomba nafasi ya kuvolunteer pale hospital ya Agakhan,wadau hapo napo vipi niendelee kuvuta subra ama nifikirie...
0 Reactions
21 Replies
4K Views
Anatakiwa Civil Engeneer level ya degree tushirikiane mm nafungua kampuni ya ujenzi..ambae yupo iringa na mikoa ya jiran itakua rahisi zaid..kwa maelezo zaid 0757131135
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Nahitaji dereva wa pikipiki/boda boda ambae anaishi hapa arusha na mwenye mdhhamini kwa yeyote mwenye sifa hizo atume msg kwenda namba 0787 80 35 77 au 0767 80 35 77.usipige tafadhali!!tuma msg...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Kwa watu tusio na ajira iko hivi... Kuna % kubwa ya watu ukiwatafuta kuhusu mambo ya kazi wanakujibu kua upo kimya sana kijana mara unajifungia sana njoo mjini mwengine eti amesahau... Yani mi...
1 Reactions
2 Replies
3K Views
UNDP Kenya is recruiting: Programme Analyst Coordinator Livelihood Specialist Project Officer Senior Driver Program Analyst Apply here: Vacancies at UNDP Kenya (United Nations Development...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
utumishi wa umma kupitia tovuti yao ya www.ajira.go.tz wametoa tangazo la kuitwa kazini kwa watu wa mifugo na kilimo kazi kwenu.
0 Reactions
2 Replies
3K Views
  • Closed
Jamii Media imedhamiria kuboresha kitengo chake cha uhariri wa mijadala ya mtandao wake wa JamiiForums.com ili kuweza kusimamia ubora wa mijadala anuai. Kutokana na kuwa kitengo hiki ni kipya kwa...
31 Reactions
167 Replies
24K Views
Ndugu wana Jf, Utumishi wameita watu kazini tena kwa kada za kilimo na mifugo! Naomba wadau mtupie humu.
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Kwa hisani ya Zoomtz- ndo nilikotoa hizi taarifa!!!!!!kuna jamaa anaitwa Mr Rohit 0785801348, ana kampuni inaitwa Europecar, anatafuta front ofice manager, vigezo: english iwe reachable sana...
1 Reactions
29 Replies
4K Views
Km nataka kupeleka barua ya kuacha kazi kwa mwajiri wangu na tarehe ya mshahara ni tarehe 24.Je kati ya tarehe 23 na 24 ni tarehe ipi itakuwa vyema kupeleka barua,kwa malengo nimlipe mwajiri...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Back
Top Bottom