HR Solututions

HR Solututions

michepuko

JF-Expert Member
Joined
Apr 22, 2014
Posts
1,192
Reaction score
346
Nimeitwa kwa ajili ya kufanya interview na hawa jamaa wa HR solutions,kuna nafasi ya kazi nili apply lkn mpaka sasa sijajua ni kampuni gani?kwa yeyote aliyewahi kufanya mahojiano na hawa jamaa pleas tufahamishane huwa wanahitaji details gani haswa?
 
Hawanaga nafasi ila ikipatikana kulingana na cv zako watakuambia uende kwa kampuni husika so we nenda na general ideal ya nafasi uliyoomba pia kumbukumbu muhimu utumapo maombi kaka.
 
Hawanaga nafasi ila ikipatikana kulingana na cv zako watakuambia uende kwa kampuni husika so we nenda na general ideal ya nafasi uliyoomba pia kumbukumbu muhimu utumapo maombi kaka.
Thanx mkuu kwa information.
 
Mchpuko ww c ulikuw unatak kufadhil party ya jf?!
Khaah kumbe bdo nawe unazunguk na interview! ?
Jf burudaaaani
 
Back
Top Bottom