Form six leaver, natafuta ajira

Mansully

Member
Jan 26, 2014
10
1
Habari humu ndani samahani wadau nilikuwa naulizia uwezekano wa kupata AJIRA ili niweze kujiendeleza kielimu am form six leaver.
 
Habari humu ndani samahani wadau nilikuwa naulizia uwezekano wa kupata AJIRA ili niweze kujiendeleza kielimu am form six leaver.

Google restless development tanzania then nenda sehemu ya jobs / work with us....hawa jamaa wanatoaga chans ya kuvolunteer kwa form six leaver bt kuna allowance unakuwa unapewa....ni nzur coz hata mm nilipomaliza six nilifanya nao for 5 months had chuo kilipofunguliwa....ni nzur sana km sikosei now nafas za maombi ya kuvokunteer bado ziko wazi...for mo info fanya hvyo ndugu...
 
Habari humu ndani samahani wadau nilikuwa naulizia uwezekano wa kupata AJIRA ili niweze kujiendeleza kielimu am form six leaver.

Pitia hizi shule za private za sekondari huwa wanatoaga ajira kwa vijana waliomaliza form 6.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom