Call for interview EFC Tanzania M.F.C LTD

darmmy

Member
Sep 4, 2013
16
0
Habari wadau? nimepigiwa cm leo saa nne na watu wa EFC kwa ajili interview kesho saa tatu lakini mimi nipo Iringa.Anaewajua vizuri hawa jamaa anijuze kama vipi nisafiri jioni ili kesho niwe dar
 

kaburungu

JF-Expert Member
Mar 9, 2011
2,412
2,000
Habari wadau? nimepigiwa cm leo saa nne na watu wa EFC kwa ajili interview kesho saa tatu lakini mimi nipo Iringa.Anaewajua vizuri hawa jamaa anijuze kama vipi nisafiri jioni ili kesho niwe dar

Mkuu unamaanisha nini unaposema "anaewajua vizuri hawa jamaa" kwan wakati unapeleka barua kwao hukuwajua?


Sent from my iPhone using JamiiForums app.
 

valid statement

JF-Expert Member
Sep 18, 2011
2,775
2,000
watakuita kwenye usaili vizuri, watakuuliza mawsali ya kawaida sana, utajipa moyo umeshinda, ila hutaitwa kazini. kama huna nauli USIKOPE.
 

tenant

Member
May 17, 2014
60
70
Mkuu unamaanisha nini
unaposema "anaewajua vizuri hawa jamaa" kwan wakati unapeleka barua kwao
hukuwajua?


Sent from my iPhone using JamiiForums app.

nahis ungekua na jb zur zaid lakumjibu au kama cvyo ungepiga kimya tu ungekua wise zaid mkuu
 

kaburungu

JF-Expert Member
Mar 9, 2011
2,412
2,000
nahis ungekua na jb zur zaid lakumjibu au kama cvyo ungepiga kimya tu ungekua wise zaid mkuu

Jibu zuri zaidi ni lile linalosomeka vzr machoni kwako sio? Naona unajitahidi kuongeza idadi ya post, karibu.


Sent from my iPhone using JamiiForums app.
 

ukawa

JF-Expert Member
Apr 16, 2014
283
195
hao jamaaa n kama brac! finca! pride so jipange kufuatilia mokopo kwa wateja kwa miguu
 

darmmy

Member
Sep 4, 2013
16
0
sio kwamba nimekuja kuongeza idadi ya post nilitaka kujua payment na kazi zao zpo vp coz nishawahi fanya kazi FINCA na saiz nafanya business iringa
 

buhange

JF-Expert Member
Oct 23, 2011
504
250
Bro, umesema umewahi kufanya kazi FINCA hebu nipatie uzoefu, wanalipaje FINCA na utendaji wao wa kazi ukoje? Maana hawa jamaa wameniita interview this week, nipeni hints za FINCA wakuu maana hapo juu nimeona FINCA ikifananishwa na BRAC na PRIDE jaman
 

darmmy

Member
Sep 4, 2013
16
0
Cjajua unaenda interview post gan, bt kama ni loan officer kipind naacha kazi mwaka jana june gros salary ilikua500,000 net ilikua 405,000. interview inakua ya kawaida tell us about urself, shika duties za post waliyokuita na kama ni loan officer lazma ujue njia njia za kupata customers kama vile door to door, fliers na zinginezo. na maswal mengne ya kawaida
 

B'REAL

JF-Expert Member
Oct 20, 2010
3,742
2,000
bro, umesema umewahi kufanya kazi finca hebu nipatie uzoefu, wanalipaje finca na utendaji wao wa kazi ukoje? Maana hawa jamaa wameniita interview this week, nipeni hints za finca wakuu maana hapo juu nimeona finca ikifananishwa na brac na pride jaman

mkuu finca loan office/credit officer anapokea kuanzia laki sita akiwa imeshakatwa kila kitu ila inategemea na product unayo itwa bl.vb au sgl mishahara inatofautiana,kwa finca loan officer kidogo wanaangaliwa sana.
 

new generation

JF-Expert Member
Mar 14, 2012
412
250
mkuu finca loan office/credit officer anapokea kuanzia laki sita akiwa imeshakatwa kila kitu ila inategemea na product unayo itwa bl.vb au sgl mishahara inatofautiana,kwa finca loan officer kidogo wanaangaliwa sana.

kaka nilifanya kazi EFC yaan ni shida! Wanalipa 523000 basic kwa credit ofcer, ukimaliza probetion period unapata basic 600000! But pale efc upewi nauli wala calk allowance kila kitu wewe ndo unagharamia! Full stress, mashart ya ukopeshaji magumu kiasi kwamba mjasilia mali wa kawaida hawez yamudu! Yaan efc nimefanya mwezi nika resign 24hours. But jana ijumaa nimefanya interview finca! Vp nawenyewe wana presha??
 

Blessingme

JF-Expert Member
Apr 10, 2011
250
225
entrepreneur financial centre au wengine? BT ninachoweza kukwambia kama kuna MTU mmoja alivyokushauri soma duties za post yako na jaribu kuweka akilini mwako kazi kwanza mshahara badae utafanikiwa. other thing will come after. nkutakie maandalizi mema
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom