Msaada wa kazi

Msaada wa kazi

ZUKUDE

Member
Joined
Apr 28, 2014
Posts
10
Reaction score
0
Salamu kwenu wanaJF,

Kwa mtu mwenye mapenzi mema na ushauri namba yangu 0768538324. Binafsi nimemaliza chuo kikuu mwaka jana Bachelor of science in Mathematics.

Nimejaribu kuaplay kazi mbambali bila mafanikio hata kwenye shule binafsi kwa ajili ya kufundisha somo la hesabu kwani uwezo wa kufundisha somo hilo ninao tena mkubwa, lakini sjawahi fanikiwa.
 
Sema upo mkoa pia? itasaidia kupata kaz mapema then jitahd kuznguka shule ming zaid bsc.in math ni gold mkubwa!
wish u all the best
 
Yaani mwalimu wa hesabu na haujapata ajira? Like seriously?!
 
Back
Top Bottom