mwizi huyu jamani

mwizi huyu jamani

RUTUBA

Member
Joined
Mar 16, 2014
Posts
66
Reaction score
17
HABARI NDUGU?UNAKUMBUSHWA TENA IWAPO BADO HUJALIPA ADA YA USAILI TSH 10000(ELFU KUMI )KULIPA SASA MAANA MUDA UNAKWISHA.MNAOTUMIA MITANDAO YOTE(WOTE) KUANZAIA LEO TAREHE 31/5.TUMIENI KWENYE NAMBA HII KWA MPESA AU TGOPESA.NAMBAHII INAPOKEA ZOTE.kAMISHNA WA UHAMIAJI mwasambalila....0769119161
 
naskia huko Uhamiaji vimemo vimetembea sana tu, yaan mdogo wangu kakosa raha kabisa hajaitwa hata kwenye usaili wa kwanza
 
kama kawa..........ida hiyo watz ni kama utamaduni.
 
HABARI NDUGU?UNAKUMBUSHWA TENA IWAPO BADO HUJALIPA ADA YA USAILI TSH 10000(ELFU KUMI )KULIPA SASA MAANA MUDA UNAKWISHA.MNAOTUMIA MITANDAO YOTE(WOTE) KUANZAIA LEO TAREHE 31/5.TUMIENI KWENYE NAMBA HII KWA MPESA AU TGOPESA.NAMBAHII INAPOKEA ZOTE.kAMISHNA WA UHAMIAJI mwasambalila....0769119161

mnaibiwa hapa, Bw. Donald Ndagula ndiyo Kamishina wa Uhamiaji.
 
Back
Top Bottom