Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

On JF:

Habari wadau wa jamii forum natafuta kazi ya usecretary au office management katika kampuni shirika ama taasisi yoyote. Ahsante.
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habari wanajamii? Naombeni taarifa zozote zinazo husiana na E-Government, maana walitoa post za kazi lakini mpaka sasa hivi hakuna updates zozote, je kunamtu anatarifa kuhusu hawa watu?
0 Reactions
2 Replies
1K Views
SERIKALI imemuongezea muda wa mkataba wa miaka miwili Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC), Clement Mshana, aliyetimiza miaka 60 ya kustaafu kwa mujibu wa sheria, Machi...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari wanajamii, mimi ni mhitim wa staashada ya computer science natafuta kazi mojawapo kati ya hizo hapo juu, ninauzoefu wa mwaka mmoja katika ufanyaji kazi. Sasa hivi nipo Ruaha university...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Heshima kwenu nyote Bado tunahitaji Mameneja wa Hoteli na watu wa Sales Tafadhali tuma CV yako info@lenjen.co.tz na recruitment@lenjen.co.tz
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Jaman wenye taarifa kuhusu kuitwa kwenye usaili na wizara ya afya na ustawi wa jamii anijuze. Ni miez sasa imepita tangu watoe post zaid ya hamsin. Ikiwemo post za walfare, env.health, clinical...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Wapendwa salama humu, mie ni graduate wa veta mwenye taaluma ya Umeme wa majumbani, na mpaka sasa bado sijapata ajira rasmi, nimeona nitumie fursa hii kujitolea ili kupata japo kiuzowefu ktk...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kutokana hali ngumu ya maisha inayotaka kunikabili nimeamua kuwa house girl ili nipate mahitaji yangu ya kila siku. Naweza kufanya popote hata kwa wazungu coz I can speak english fluently...
0 Reactions
10 Replies
9K Views
Jamani wapendwa natafuta kazi za ndani kwa Mwanza na Dar.
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Wiki hii majina ya maassistant inspector of immigration yanakua released! stay tuned
1 Reactions
13 Replies
3K Views
habarini wapendwa.. napenda kuuliza mwenye kuifahamu namba tajwa hapo juu. nilikuta missed call nkajaribu kuipiga nkaambiwa hyo no haipo nimeshindwa kuelewa ni mtandao mbovu au laa. namba...
0 Reactions
18 Replies
4K Views
Wana jamvi naleta ushauri huu kwenu mimI binafsi napeleka mashitaka kwenye hii bank ya posta inapotosha umma huwezi amini kinachofanyika pale ni upotoshaji wa umma mfano wanatoa nafasi za kazi...
1 Reactions
43 Replies
10K Views
Hakika ajira ni sawa na hakuna hapa nchini kwetu baada kuona hilo nimethubutu kusajili company yangu - which is a full-oriented service provider, dealing with venue organization, management and...
2 Reactions
2 Replies
3K Views
Financial Trader Associates This Position is considered a key contributor to the Management of Securities Portfolio within the organization and will be the Primary Trader for certain Products of...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Utumishi yatangaza ajira, embu check hiyo document.
1 Reactions
6 Replies
3K Views
Habari ndugu nahitaji msaada kwa wale waliowahi fanya usail utumishi, hivi lugha inayotumika kwenye usaili ni ipi english au swahili? in both written and oral interview. Maana nimeitwa kwenye...
0 Reactions
4 Replies
5K Views
Tafadhari naomba ushauri,nimeitwa usaili T.A pale SUA sasa nipo dilema maana nilipata kazi utumishi nipo kituo cha kazi.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wana Jf nimejaribu kuulizia baadhi ya halmashauri za wilaya wengi tumeambiwa twende nyumbani na tutajulishwa kupitia namba za simu. je tatizo ni nini kutuweka mtaani tena badala ya kwenda...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Kwanza pole na majukumu wanajamii. Mi ni mtanzania(me) mwenzenu natafuta kazi ambayo itaniwezesha kujikimu kimaisha nina bachelor ya project planning management&community development. Sina...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Anahitajika fundi umeme wa magari.awe na uzoefu wa kutosha Sifa: Awe amemaliza kidato cha nne au veta Awe na umri chini ya miaka 35 Awe anajua vizuri computer Wasiliana na simu...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Back
Top Bottom